Mkulima, ng’ombe 71 wauawa Morogoro
MKULIMA mmoja ameuawa kwa kuchomwa na mkuki na zaidi ya ng’ombe 71 wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji, yaliyotokea katika Kijiji cha Dihinda katika Kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mtu mmoja, ng’ombe 71 Morogoro
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MTU mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi mmoja baada ya kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Dihinda, Kata ya Kanga, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dihinda, Hariri Kilama, alisema tukio hilo lilitokea Desemba 11, saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa Kilama, tukio hilo lilisababishwa na mfugaji mmoja aliyejulikana kwa jina...
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wafugaji wakimbia kijiji alikouawa mtu, ng’ombe 71
WAFUGAJI waliovamia maeneo ya wakulima katika kijiji cha Dihinda wilayani Mvomero mkoani Mogorogo na kusababisha mapigano yaliyoua mkulima na ng’ombe 71, wamekimbia kijijini hapo na kutokomea kusikojulikana.
9 years ago
StarTV24 Dec
Serikali yaisitisha Operesheni Toa Ng’ombe ndani ya hifadhi ya misitu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ramo Makane amesitisha operesheni toa Ng’ombe ndani ya hifadhi ya misitu kwa sasa hadi hapo Serikali itakapotoa agizo la nini cha kufanya akiwataka wafugaji kutoingiza tena mifugo mingine ndani ya hifadhi.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wafugaji wa Kanda ya Ziwa kulalamika kukosa maeneo ya kufuga hasa kipindi hiki cha Kilimo.
Wakizungumza katika Mkutano na wakazi wa Ngara ambao wengi wanajihusisha na ufugaji katika pori la kimisi,kigosi na muyowosi wamesema...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Jeshi la Polisi Igunga lashikiliwa Ng’ombe 320 waliovamia mashamba ya wakulima na watu saba watuhumiwa kuharibu mali na kujeruhi
Ng’ombe wa wafugaji wa kabila la Kitaturu waishio kijiji cha Isakamaliwa, Wilayani Igunga wakiwa katika kituo cha Polisi Igunga wakiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia mashamba ya wakulima wa kijiji hicho.
Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Isakamaliwa ambao mashamba yao yalivamiwa na mifugo hiyo wakiwa kituo cha Polisi wakisubiri maelekezo ya askari mara baada ya kuwafikisha Ng’ombe waliovamia mashamba yao na kuwasababishia hasara.
Na Jumbe Ismailly,Igunga
JESHI la polisi wilayani...
11 years ago
Habarileo06 May
Ng’ombe 150 wauawa Biharamulo
NG’OMBE 150 wameuawa na askari wa Wanyama Pori katika Hifadhi ya Biharamulo, kutokana na mgogoro uliokuwepo wa kuwaondoa baadhi ya wafugaji, waliovamia eneo la hifadhi.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Watatu wauawa kwa kudai ng’ombe
WAKAZI watatu wilayani hapa, wameuawa kwa kupigwa na silaha za jadi na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Karongo, Kata ya Rwabwere. Marehemu hao ni Justus Wamara (49), Syrilo Sebastian...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvG1bjqID2tI94KSuwmMjqrdwpwxtFadI7yfDsarg9YupZcZZzC2Y9wyqCNlcuNuTxPzOq7R9zeKmGgHurS*ROCd/BREAKINGNEWS.gif)
WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe TZ
10 years ago
Bongo521 Oct
YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe