Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mtu mmoja, ng’ombe 71 Morogoro
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MTU mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi mmoja baada ya kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Dihinda, Kata ya Kanga, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dihinda, Hariri Kilama, alisema tukio hilo lilitokea Desemba 11, saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa Kilama, tukio hilo lilisababishwa na mfugaji mmoja aliyejulikana kwa jina...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mmoja Moro
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wafugaji wakimbia kijiji alikouawa mtu, ng’ombe 71
WAFUGAJI waliovamia maeneo ya wakulima katika kijiji cha Dihinda wilayani Mvomero mkoani Mogorogo na kusababisha mapigano yaliyoua mkulima na ng’ombe 71, wamekimbia kijijini hapo na kutokomea kusikojulikana.
10 years ago
Habarileo22 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua 3 Kigoma
MAPIGANO yaliyoibuka baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Minyinya, wilayani Kakonko mkoani Kigoma, yamesababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua watu wawili
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mkulima, ng’ombe 71 wauawa Morogoro
MKULIMA mmoja ameuawa kwa kuchomwa na mkuki na zaidi ya ng’ombe 71 wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji, yaliyotokea katika Kijiji cha Dihinda katika Kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro.
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Jeshi la Polisi Igunga lashikiliwa Ng’ombe 320 waliovamia mashamba ya wakulima na watu saba watuhumiwa kuharibu mali na kujeruhi
Ng’ombe wa wafugaji wa kabila la Kitaturu waishio kijiji cha Isakamaliwa, Wilayani Igunga wakiwa katika kituo cha Polisi Igunga wakiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia mashamba ya wakulima wa kijiji hicho.
Baadhi ya wakulima wa kijiji cha Isakamaliwa ambao mashamba yao yalivamiwa na mifugo hiyo wakiwa kituo cha Polisi wakisubiri maelekezo ya askari mara baada ya kuwafikisha Ng’ombe waliovamia mashamba yao na kuwasababishia hasara.
Na Jumbe Ismailly,Igunga
JESHI la polisi wilayani...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Akatwa kichwa mapigano ya wakulima, wafugaji
9 years ago
Habarileo01 Oct
Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.