WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE
![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvG1bjqID2tI94KSuwmMjqrdwpwxtFadI7yfDsarg9YupZcZZzC2Y9wyqCNlcuNuTxPzOq7R9zeKmGgHurS*ROCd/BREAKINGNEWS.gif)
WATU wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti, Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Mar
Wanne wauawa wakituhumiwa kuiba
WATU wanne wameuawa na kundi la watu wasiojulikana, wakituhumiwa kuiba ng’ombe katika Kijiji cha Igwambiti Kata ya Buhongwa, jijini hapa. Mtendaji wa Kata ya Buhongwa, Benedict Kabadi alisema alipokea taarifa za kuwepo kwa mauaji hayo jana asubuhi na kwamba alipofika katika eneo la tukio, aliikuta miili ya watu watatu waliouawa.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Kizimbani wakidaiwa kuiba ‘Noah’
WATU wawili , Alfred Benedict (27) na Issa Kasim (22) , wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam kwa shitaka la wizi wa gari.
10 years ago
Habarileo01 Sep
Walimu kizimbani wakidaiwa kuiba vyeti
WALIMU watatu wa Shule ya Sekondari Badri iliyoko wilayani Nzega, Tabora wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa mashitaka ya wizi wa vyeti viwili vya wanafunzi.
11 years ago
GPLREDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA
10 years ago
Habarileo15 Aug
Watatu wauawa wakidaiwa kupora pikipiki
VIJANA watatu ambao hawajafahamika majina yao wanaokadiriwa kuwa na kati ya miaka 25 na 30, wameuawa na wananchi na kisha kuchomwa moto kwa tuhuma za kupora pikipiki.
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-ly3bRK1rGGA/U6vrmyTPq3I/AAAAAAAA8eQ/dnCYXP6j0mw/s1600/IMG_0011.jpg)
UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Watu wanne wakamatwa wizi wa ng’ombe
11 years ago
Habarileo06 May
Ng’ombe 150 wauawa Biharamulo
NG’OMBE 150 wameuawa na askari wa Wanyama Pori katika Hifadhi ya Biharamulo, kutokana na mgogoro uliokuwepo wa kuwaondoa baadhi ya wafugaji, waliovamia eneo la hifadhi.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mkulima, ng’ombe 71 wauawa Morogoro
MKULIMA mmoja ameuawa kwa kuchomwa na mkuki na zaidi ya ng’ombe 71 wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji, yaliyotokea katika Kijiji cha Dihinda katika Kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro.