Watu wanne wakamatwa wizi wa ng’ombe
Polisi inawashikilia watuhumiwa watatu kwa madai ya kuhusika na wizi wa ng’ombe 15, ambao waliibwa wilayani Misungwi mkoani hapa usiku wa Mei 9.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Mwenyekiti wa kijiji Rorya mbaroni wizi wa ng’ombe
JESHI la Polisi Rorya linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Marasibora, Kata ya Kisumwa, Sproza Charles, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe watatu wa ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
11 years ago
GPL
WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wanne wauawa kwa tuhuma za wizi
WATU wanne wameuawa kwa kupigwa marungu, kuchomwa mikuki na miili yao kuteketezwa kwa moto wilayani Sengerema, Mwanza wakituhumiwa kuwa wezi. Watu hao huku wawili kati yao ni ndugu, waliuawa na...
11 years ago
Michuzi07 Apr
watanzania wanne wakamatwa na polisi huko macau, china, wakijihusisha na biashara ya ngono
10 years ago
MichuziRAIA WATATU WA KIGENI WAKAMATWA KWA MAKOSA YA WIZI WA MTANDAO KATIKA MABENKI JIJINI DAR ES SALAAM.
Polisi wa kikosi Maalum cha kupambana na wizi wa mtandao (Cyber Crime) walipata taarifa za kuaminika kwamba watu hao watatu walikuwa katika mazingira ya kutiliwa...
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mchezo wa ng'ombe wawaua watu 7 Uhispania
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Watu 3 wakamatwa wakisafirisha Miraa UK
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Paris: Watu 3 wakamatwa Ubelgiji