Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 3 wakamatwa wakisafirisha Miraa UK

Polisi wamewakamata wanawake watatu raia wa Indonesia katika uwanja wa ndege wa Moi mjini Mombasa Kenya wakisafirisha miraa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30

>Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya viroba 30 yenye uzito wa kilo 30.

 

9 years ago

BBCSwahili

Paris: Watu 3 wakamatwa Ubelgiji

Polisi wa Ubelgiji wamewakamata watu watatu kususiana na gari lililokodishwa nchini humo na kupatikana karibu na mojawapo ya eneo la tukio huko Paris.

 

10 years ago

Habarileo

Watu 141 wakamatwa katika msako

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu.JESHI la Polisi nchini kupitia Kitengo cha Interpol limewakamata watu 141 kwa makosa mbalimbali kupitia operesheni maalumu iliyofanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 4 hadi 5, mwaka huu ikiwa imefanyika kwa wakati mmoja katika nchi 25 wanachama barani Afrika.

 

9 years ago

GPL

WATU 38 WANAOJIHUSISHA NA UGAIDI WAKAMATWA NA SILAHA

Kova akionesha msisitizo wa jambo fulani. Kamanda Kova akionyesha baadhi ya silaha zilizokamatwa wakati wa oparesheni inayoendelea.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 18 wakamatwa kwa ufisadi Brazil

Polisi nchini Brazil wamevamia majimbo sita katika oparesheni kubwa ya kuchunguza ufisadi kwenye kampuni ya Petrobras.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu wanne wakamatwa wizi wa ng’ombe

Polisi inawashikilia watuhumiwa watatu kwa madai ya kuhusika na wizi wa ng’ombe 15, ambao waliibwa wilayani Misungwi mkoani hapa usiku wa Mei 9.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watatu wakamatwa kwa mauaji ya Karegeya

>Watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na mauaji ta mkuu wa zamani wa ujasusi wa Rwanda, Patrick Karegeya aliyekutwa akiwa amekufa kwenye Hoteli ya Sandton mjini Johannesburg, Afrika Kusini wiki moja iliyopita.

 

9 years ago

Habarileo

Watu 23 wakamatwa kwa kuuza holela tanzanite

ZAIDI ya wafanyabiashara 23 wa madini aina ya Tanzanite wamekamatwa na kutozwa faini kwa kufanya biashara bila ya kuwa na leseni katika Mji wa Mererani wilayani Simanjiro na kwenye mitaa ya Jiji la Arusha .

 

11 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya watu elfu nne wakamatwa Kenya

Serikali ya Kenya imesema kwa sasa inawashikilia zaidi ya watu elfu nne kufuatia operesheni usalama mjini Nairobi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani