Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu kizimbani wakidaiwa kuiba vyeti

WALIMU watatu wa Shule ya Sekondari Badri iliyoko wilayani Nzega, Tabora wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa mashitaka ya wizi wa vyeti viwili vya wanafunzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kizimbani wakidaiwa kuiba ‘Noah’

WATU wawili , Alfred Benedict (27) na Issa Kasim (22) , wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam kwa shitaka la wizi wa gari.

 

11 years ago

GPL

WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE

WATU wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti, Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-

MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.

 

11 years ago

Mwananchi

Kizimbani kwa kuiba masufuria ya Sh355 milioni

Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Aluminium Holloware (TZ) Limited, Nurdin Mohamed amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa katoni 7,500 za masufuria na kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu.

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa kuiba kiyoyozi Palm Beach

WAKAZI wa Magomeni, Juma Suleimani (49) na Stanslaus Daniel(30) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa kiyoyozi. Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomea mashitaka hayo mbele ya Hakimu Benjamini Mwakasonda.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu, wazazi waghushi vyeti vya kuzaliwa

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa.

 

10 years ago

Michuzi

Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) kizimbani kwa mashitaka 14 ya kufoji vyeti vya kidato cha nne

Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii  Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) wamekutwa na kesi ya kujibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam, dhidi ya mashitaka 14 ya kughushi na kuwasilisha vyeti vya kidato cha nne vilivyoghushiwa.  Uamuzi huo ulitolewa na Hakimu Mkazi Nyigulila Mwaseba baada ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wao, dhidi ya washtakiwa Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahengena Beatha Masawe, Jacquiline Juma, Philimina...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI

Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga akimkabidhi chandarua na shuka raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses (kulia) baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na UNHCR kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza...

 

11 years ago

Michuzi

KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA


Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.

ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997


Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,


Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo  sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani