Kizimbani kwa kuiba masufuria ya Sh355 milioni
Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Aluminium Holloware (TZ) Limited, Nurdin Mohamed amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa katoni 7,500 za masufuria na kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Dec
Kizimbani kwa kuiba kiyoyozi Palm Beach
WAKAZI wa Magomeni, Juma Suleimani (49) na Stanslaus Daniel(30) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa kiyoyozi. Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomea mashitaka hayo mbele ya Hakimu Benjamini Mwakasonda.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Kizimbani wakidaiwa kuiba ‘Noah’
WATU wawili , Alfred Benedict (27) na Issa Kasim (22) , wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam kwa shitaka la wizi wa gari.
11 years ago
Habarileo02 Jul
Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-
MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.
10 years ago
Mtanzania23 May
DED kizimbani kwa kusababisha hasara ya milioni 24/-
Na Lushishi Robert, Serengeti
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara, imemfikisha mahakamani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Goody Kitambo kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha Serikali hasara ya Sh milioni 24.5.
Kitambo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti akituhumiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuelekeza magari ya halmashauri ya wilaya hiyo...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Walimu kizimbani wakidaiwa kuiba vyeti
WALIMU watatu wa Shule ya Sekondari Badri iliyoko wilayani Nzega, Tabora wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa mashitaka ya wizi wa vyeti viwili vya wanafunzi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vBsJZOpM5twbuHpX3LQlV8ISp6wgY5NQHH*-THOuiC8NaHEABx*hnnrKdAZfsJEAmy*9lrQjy4TC9jc4V4WSx9m/50centnew.jpg)
KUNDI LA 50 CENT LADAIWA KUIBA SAA NA MKUFU WA SH. MILIONI 496
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s72-c/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili
![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s640/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Katika hotuba yake amesema haingii ikulu kutafuta fedha anaenda ikulu kwa kazi moja tu ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo . Amesema dhamira yake ni kuona taifa linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Amesema atapunguza mshahara wa Rais ambao analipwa hivi sasa dola 192,000 sawa na milioni mia nne kwa mwezi hadi kufikia milioni mbili kwa mwezi amesema kuna faida gani ya mtu kupokea mshahara wote huo ili hali wananchi wako hawana maji , zahanati hakuna dawa, pembejeo za kilimo zipo juu,...
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Wahukumiwa Marekani kwa kuiba nyimbo