Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNDI LA 50 CENT LADAIWA KUIBA SAA NA MKUFU WA SH. MILIONI 496

Rappa 50 Cent akiwa katika pozi na Mayweather. MWANAMUZIKI (rapper) 50 Cent wa nchini Marekani na kundi lake wamedaiwa kutumia bastola kumtishia muuza vito na kumwibia saa aina ya Rolex na mkufu wenye thamani ya Sh. Milioni 496 wakati wa pambano la mabondia Mayweather na Pacquiao lililiofanyika hivi karibuni huko Las Vegas. Sehemu ya vitu vinavyodaiwa kuibiwa na kundi la 50 Cent. Robert Marin, mmiliki wa duka la vito la LAX...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kundi la P-Unit ladaiwa kuvunjika, members wake waanza kufanya project binafsi

Kundi la muziki P-Unit kutoka Kenya ladaiwa kusambaratika ikiwa ni miaka saba toka waungane. Kwa mujibu wa Standard Digital, members wa kundi hilo lililozaliwa mwaka 2007, kila mmoja ameanza kufanya solo project. Frasha anatarajiwa kuzindua project yake binafsi Ijumaa hii, huku Gabu na Bon Eye wakifuata mkondo huo pia. P-Unit ambao ni washindi wa tuzo […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kizimbani kwa kuiba masufuria ya Sh355 milioni

Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Aluminium Holloware (TZ) Limited, Nurdin Mohamed amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka ya wizi wa katoni 7,500 za masufuria na kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu.

 

9 years ago

Bongo5

Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!

Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut. Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5. Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka. Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza […]

 

9 years ago

Bongo5

Kundi la One Direction huingiza shilingi milioni 62 kila siku

Kundi maarufu la Uingereza la One Direction, huingiza pauni 19,000 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 62. Waimbaji hao waliopata mafanikio baada ya kuwa chini ya usimamizi wa Simon Cowell kupitia kipindi cha The X Factor mwaka 2010, huingiza kiasi hicho cha fedha kufuatia taarifa zao za fedha zilizochapishwa na Companies House. One […]

 

10 years ago

Michuzi

Kundi la”WAKALI SISI”latimka na Milioni 5 za shindano la Dance100% 2014

 Meneja Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akitaniana na kiongozi wa kundi la”Wakali sisi”la kiwalani jijini Dar es Salaam,Baraka Kambona(kushoto)alipokuwa akikabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 5 kwa kundi hilo kama wadhamini wakuu wa shindano la Dance 100% kundi hilo liliibuka washindi katika fainali  ya shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Washindi wa shindano la Dance 100% 2014 kundi la wakali sisi wakiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Kundi la ‘WAKALI SISI’ latimka na milioni 5 za shindano la Dance100% 2014

Hatimaye kundi la”Wakali Sisi” lenye makazi yake Kiwalani jijini Dar es Salaam, ambalo lilikuwa miongoni mwa makundi matano yaliyoingia fainali za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linaloratibiwa na Kituo cha East Africa Television Ltd  na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, limeibuka mshindi katika shindano hilo lililokuwa la kukata kwa […]

 

9 years ago

MillardAyo

Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..

Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200. Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa. […]

The post Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

KUNDI LA”WAKALI SISI” LATIMKA NA MILIONI 5 ZA SHINDANO LA DANCE100% 2014

Kikundi cha The WT cha jijini Dar es Salaam kilichoshinda nafasi ya pili katika fainali ya shindano la Dance 100% 2014 likionesha umahiri wao wa kudansi katika fainali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam.Ambapo kundi la”WAKALI SISI”toka kiwalani jijini liliibuka na ushindi huo na kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 toka kwa wadhamini wakuu wa shindano...

 

11 years ago

Bongo5

Davido anunua saa ya dhahabu ‘Gold Rolex Sky-Dweller watch’ yenye thamani ya milioni 60

Msanii wa muziki kutoka Nigeria hit maker wa ‘Aye’, Davido ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho. Davido ametumia kiasi cha zaidi ya milioni 60 kununua saa ya dhahabu aina ya ‘Gold Rolex Sky-Dweller’. Mkali huyo wa ‘Skelewu’ kupitia instagram ameandika: ‘Been working too hard lately so l decided to spoil myself’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani