Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kundi la P-Unit ladaiwa kuvunjika, members wake waanza kufanya project binafsi

Kundi la muziki P-Unit kutoka Kenya ladaiwa kusambaratika ikiwa ni miaka saba toka waungane. Kwa mujibu wa Standard Digital, members wa kundi hilo lililozaliwa mwaka 2007, kila mmoja ameanza kufanya solo project. Frasha anatarajiwa kuzindua project yake binafsi Ijumaa hii, huku Gabu na Bon Eye wakifuata mkondo huo pia. P-Unit ambao ni washindi wa tuzo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNDI LA 50 CENT LADAIWA KUIBA SAA NA MKUFU WA SH. MILIONI 496

Rappa 50 Cent akiwa katika pozi na Mayweather. MWANAMUZIKI (rapper) 50 Cent wa nchini Marekani na kundi lake wamedaiwa kutumia bastola kumtishia muuza vito na kumwibia saa aina ya Rolex na mkufu wenye thamani ya Sh. Milioni 496 wakati wa pambano la mabondia Mayweather na Pacquiao lililiofanyika hivi karibuni huko Las Vegas. Sehemu ya vitu vinavyodaiwa kuibiwa na kundi la 50 Cent. Robert Marin, mmiliki wa duka la vito la LAX...

 

9 years ago

Bongo5

Kundi la Mafikizolo kuvunjika? Huu ndio ukweli

Muimbaji wa kiume wa kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini, Theo Kgosinkwe ameamua kuzielezea tetesi kuwa kundi hilo lipo mbioni kuvunjika. Nhlanhla Nciza na Theo Kgosinkwe wanaounda kundi la Mafikizolo Tetesi hizo zilianza baada ya muimbaji wa kike wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kuanzisha kampuni yake fashion na Theo kudai kuwa anaanzisha lebo yake […]

 

9 years ago

MillardAyo

Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa

Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006. Akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com Berry Black ambaye kwasasa makazi yake yapo Dar es Salaam huku kazi zake zikiwa zinasimamiwa na Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Said Fella….’Chanzo cha […]

The post Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Fid Q kufanya kazi na producer wa Kare ya P-Unit, Musyoka

Fid

Fid Q huenda akaungana na producer wa Kenya, Erik Musyoka kupika jiwe jipya.

Fid

Wawili hao walikutana kwenye Coke Studio Africa jijini Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa blog ya show hiyo, Musyoka alidai angependa kufanya kazi Fid Q baada ya kuvutiwa na uwezo wake. Wawili hao walizungumza kuhusu kufanya kazi pamoja.

Musyoka ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wanaoheshimika zaidi nchini Kenya. Miongoni mwa nyimbo alizozipika ni pamoja na Kare ya P-Unit. Mwaka jana pia Mwana FA na AY walifanya...

 

9 years ago

Bongo5

Man United yapata pigo baada ya beki wake Luke Shaw kuvunjika mguu

Manchester United imepata pigo baada ya beki wake wa kushoto, Luke Shaw kuvunjika mguu. Kutokana na majeraha hayo, mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi sita. Luke aliumua kwenye mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji PSV nchini Uholanzi. Katika mchezo huo United ililala 2-1. Shaw alimwaga machozi […]

 

9 years ago

Bongo5

Rapper aliyejiunga na kundi la ISIS, Deso Dogg auawa, aliwahi kufanya ziara na DMX

dogg-deso-52797355e07f9Mfuasi wa kundi la kigaidi la ISIS na rapper wa zamani, Deso Dogg ameuwa nchini Syria, Oct. 16 baada ya kushambuliwa na ndege za kivita za Marekani. Deso Dogg ambaye alijulikana na pia kwa jina la Abu Talha al-Almani, aliwahi kufanya ziara DMX. Rapper huyo alizaliwa nchini Ujerumani kwa jina la Denis Cuspert kabla ya […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Sasa ni Zamu ya Yusup Mlela na Esha Buheti Kutua Marekani Kufanya Project

“Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. Hahahahaha.alianza Wastara . Mona . Sasa zamu yenu Mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA . CHAO pamoja wasaniii wadogo haoooooooooooooooooo . Mmmmmmmmmmmmmm majuuuuuuuu”- Steven Mengere 'Steve Nyerere’  aliekuwa raisi wa Bongo Movie Unity alibandika andiko hili mtandaoni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani