Rapper aliyejiunga na kundi la ISIS, Deso Dogg auawa, aliwahi kufanya ziara na DMX
Mfuasi wa kundi la kigaidi la ISIS na rapper wa zamani, Deso Dogg ameuwa nchini Syria, Oct. 16 baada ya kushambuliwa na ndege za kivita za Marekani. Deso Dogg ambaye alijulikana na pia kwa jina la Abu Talha al-Almani, aliwahi kufanya ziara DMX. Rapper huyo alizaliwa nchini Ujerumani kwa jina la Denis Cuspert kabla ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Nov
Adele akanusha kuwa aliwahi kukataa kufanya collabo na Beyonce
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Adele-na-Beyonce-300x194.jpg)
Wiki iliyopita jarida la Heat liliandika taarifa kuwa mwanamuziki wa Uingereza, Adele aliwahi kumkatalia Beyonce Knowles ombi la kufanya naye collabo, baada ya Bey kujaribu kumshawishi kwa mwaka mzima wafanye kazi.
Hit maker wa ‘Hello’, single iliyovunja rekodi mbalimbali amekanusha taarifa hizo.
Adele (27) amesema hawezi kumkosea heshima kiasi hicho Beyonce (34), kwasababu kwanza yeye ni shabiki wake.
“There’s a rumor going round that I turned Beyonce down. Just to clear up, I would never...
9 years ago
Bongo511 Dec
Naj aliwahi kufanya audition ya filamu za Harry Porter na kidogo apate
![Naj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Naj-300x194.jpg)
Naj aliwahi kufanya audition ya filamu za Harry Porter nchini Uingereza.
Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa alifanikiwa kuingia kwenye mzunguko wa pili.
“Walitangaza kwenye redio kipindi hicho mimi mdogo mama yangu anajua kabisa napenda sana movie. Tulienda pale sasa foleni, walikuwa wanatafuta msichana mmoja sasa wasichana age hiyo hiyo tulienda wengi nakuambia foleni,” alisema.
Anasema pamoja na kuwahi mapema asubuhi alijikuta akifanyiwa audition jioni.
Baada ya siku...
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Uingereza kufanya uamuzi kuhusu ISIS
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLadPkBmjBOvf3uP3diX7LV78B9S04sPXz9LunPfV45jsAbKru*v9DXf8PWBJ7g6NWDh82YkiIy3jViosVo-oy*Ug/1.jpg)
ISIS WAENDELEA KUFANYA MAUAJI YA KUTISHA HUKO SYRIA NA IRAQ
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Kiongozi wa kundi la waasi auawa Syria
9 years ago
Bongo510 Dec
Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top
![MB-DOGG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/MB-DOGG-300x194.jpg)
MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.
Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...
10 years ago
Bongo509 Oct
Rich Mavoko kufanya collabo na rapper Rabbit wa Kenya
10 years ago
Bongo525 Oct
Iggy Azalea aonesha dalili za kutotaka kufanya collabo na Snoop Dogg, aachia single mpya ‘Beg For It’ (Audio)
9 years ago
Bongo502 Dec
Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo
![weusi1 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/weusi1-1-300x194.jpg)
‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.
Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.
“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...