Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo
‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.
Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.
“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Sio kwamba kila msanii wa nje tutampapatikia kufanya naye collabo — Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Ni karibia saa 24 toka mashabiki wa muziki wa Afrika waishuhudie kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa rapper wa Tanzania Joh Makini ‘Don’t Bother’ ambayo kamshirikisha rapper wa Afrika Kusini AKA iliyotambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Nov.10.
Ni wazi kuwa collabo hiyo itawasaidia Joh Makini na AKA kuongeza mashabiki wapya kutokana na kwamba wote ni wasanii wakubwa kwenye nchi zao na tayari wana fanbase kubwa, lakini Joh Makini pia ametoa maoni yake juu ya mitazamo ya watu...
9 years ago
Bongo514 Nov
Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka
![joh davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/joh-davido-300x194.jpg)
Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.
Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.
Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...
9 years ago
Bongo519 Sep
Davido atangaza ujio wa collabo yake na Joh Makini
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/4xy8gY5pZyQ/default.jpg)
9 years ago
Bongo518 Sep
Joh Makini azungumzia collabo anayotarajia kuifanya na K.O wa Afrika Kusini
11 years ago
Bongo515 Jul
Joh Makini afanya collabo na msanii wa kike wa Nigeria Chidinma, amwimbisha Kiswahili
10 years ago
Bongo509 Oct
Rich Mavoko kufanya collabo na rapper Rabbit wa Kenya
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Joh Makini: Tunataka video za kutufikisha kimataifa
NA HERETH FAUSTINE
NYOTA wa muziki wa rap nchini, John Saimon ‘Joh Makini’, amesema vifaa duni vya waongozaji video nchini ndivyo vinavyosababisha wasanii wengi wakimbilie kwa waongozaji wa video wa Afrika Kusini.
Akizungumzia video yake ya ‘Don’t Bother’ ambayo imemgharimu takribani milioni 32, Joh Makini alisema kuwa waongozaji wa nje wana vifaa vya kisasa ambavyo vinafanya video ziwe na ubora wa kimataifa.
“Mimi naamini tunaweza kufanya video zetu hapa nchini kama waongozaji wetu...