Rich Mavoko kufanya collabo na rapper Rabbit wa Kenya
Ikiwa haijafikisha hata wiki tatu tangu video yake ya ‘Pacha Wangu’ itoke, Rich Mavoko ameanza kula matunda ya wimbo wake mpya huo. Msanii huyo anatarajia kufanya collabo kuwa na rapper wa Kenya, Rabbit aka Kaka Sungura. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Mavoko ametease kava ya ngoma hiyo. “Rabbit ni msanii mkubwa sana wa hiphop toka […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Fs23M4C5lLs/default.jpg)
9 years ago
Bongo502 Dec
Joh Makini ataja ma-rapper wanne wa kimataifa anaotamani kufanya nao collabo
![weusi1 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/weusi1-1-300x194.jpg)
‘Don’t Bother’ imetimiza moja ya ndoto alizokuwa nazo rapa wa Weusi, Joh Makini za kuja kufanya collabo na rapa wa Afrika Kusini Kiernan Jarryd Forbes a.k.a AKA.
Joh Makini amewataja ma-rapper aliokuwa, na ambao bado anatamani kuja kufanya nao collabo pindi fursa hiyo itakapojitokeza, akiwemo AKA ambaye tayari amefanikiwa kufanya naye ‘Don’t Bother’ inayofanya vizuri kwa sasa.
“Unajuaga kunakuwaga na watu wako flani ambao unawaskilizaga pia na unapenda wanachokifanya kwamba siku ikitokea ...
10 years ago
Bongo505 Mar
Rich Mavoko asainishwa na kampuni ya usimamizi ya Kenya inayomsimia pia Avril
9 years ago
Bongo510 Oct
Damian Soul aingia studio kufanya collabo na Nameless wa Kenya
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Rich Mavoko aeleza ya moyoni
MSANII wa Bongo fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amewataka wasanii wenzake wawe na moyo wa kuwakumbuka wenzao waliotangulia mbele za haki hata kwa kuwatembelea wazazi au ndugu zao waliopo duniani....
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Rich Mavoko – Naimani
![Rich-Mavoko-Naimani](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Rich-Mavoko-Naimani-300x194.jpg)
Wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva Rich Mavoko unaitwa “Naimani”. Producer Boy David & Aby Dad
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9JlF4F0jf30/VXgJ_PduJ7I/AAAAAAAHeQo/EDI9VRslWyY/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzdpOwsCUUmi9b5MSXlnNsJl4Ku9Bjj8NUS*l92*lzuzib05dyMEKRNkNfEh3WmS*Gj6Gtgy7aZezOlC4vIg3lyw/RichMavokoPR.png)