Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingereza kufanya uamuzi kuhusu ISIS

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anawasihi wabunge kumruhusu kushambulia kundi la ISIS nchini Iraq

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISIS WAENDELEA KUFANYA MAUAJI YA KUTISHA HUKO SYRIA NA IRAQ

Mpiganaji wa ISIS akinyanyua tofali la zege kumpiga mmoja wa wanaume waliokamatwa kwa kuua wanawake. Adhabu ya kuwapiga mawe wanaume waliokamatwa kwa mauaji ya wanawake watatu ikiendelea huko Iraq. Mmoja wa watuhumiwa wa uchawi akiwa tayari kuchinjwa na Kundi la ISIS huko Raqqa, Syria.…

 

9 years ago

Bongo5

Rapper aliyejiunga na kundi la ISIS, Deso Dogg auawa, aliwahi kufanya ziara na DMX

dogg-deso-52797355e07f9Mfuasi wa kundi la kigaidi la ISIS na rapper wa zamani, Deso Dogg ameuwa nchini Syria, Oct. 16 baada ya kushambuliwa na ndege za kivita za Marekani. Deso Dogg ambaye alijulikana na pia kwa jina la Abu Talha al-Almani, aliwahi kufanya ziara DMX. Rapper huyo alizaliwa nchini Ujerumani kwa jina la Denis Cuspert kabla ya […]

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Kikwete na woga wa kufanya uamuzi mgumu

>Wakati Rais Jakaya Kikwete akifungua Bunge Maalumu la Katiba wiki iliyopita mjini Dodoma alisema kuwa asingependa kuona muundo wa Serikali tatu ukitokea wakati bado akiwa madarakani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wa wamisri kuhusu katiba mpya

Watu nchini Misri wameanza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya huku hali ya usalama ikiwa imedhibitiwa vikali.

 

9 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa Papa kuhusu ndoa wapongezwa

Uamuzi wa Papa Francis kulegeza masharti ya utaratibu wa kubatilisha ndoa kwa waumini wa kanisa hilo umepokewa kwa hisia tofauti.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama Uturuki yaitisha uamuzi kuhusu Gollum

Mahakama moja nchini Uturuki imeagiza uchunguzi ufanywe kubaini sifa za mhusika mmoja katika filamu za Lord of the Rings ajulikanaye kama Gollum.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wasubiriwa kuhusu rufaa ya Lubanga ICC

Mahakama ya kimataifa ya ICC mjini Hague inatarajiwa kutangaza uamuzi wake leo kuhusu rufaa iliyowasilishwa na mtu wa kwanza kuhukumiwa na mahakama hio Thomas Lubanga

 

10 years ago

Habarileo

Bakwata yahimiza kuheshimiwa uamuzi wa JK kuhusu Escrow

Alhadi Mussa SalumBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania kuheshimu uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete na mamlaka zinazohusika kuhusu suala la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Kenyatta


Mwakilishi wa kudumu wa
Kenya katika
Umoja wa Mataifa
Balozi Macharia
 Kamau.
(Picha ya UM/Mark Garten)
Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph Msami wa Idhaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani