Uamuzi wa Papa kuhusu ndoa wapongezwa
Uamuzi wa Papa Francis kulegeza masharti ya utaratibu wa kubatilisha ndoa kwa waumini wa kanisa hilo umepokewa kwa hisia tofauti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Papa Francis atangaza uamuzi mzito
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Papa afungisha ndoa, apingwa
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Papa kujadili ndoa na talaka kanisani
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Papa Francis: Ndoa batili, inawezekana, ila…
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Sheria ya ndoa ya Papa Francis na vitu unavyotakiwa kuvifahamu
JOSEPH HIZA NA MITANDAO
JUMANNE wiki hii Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, alitangaza mageuzi makubwa juu ya namna kanisa hilo linavyoweza kushughulikia ubatilishaji wa ndoa.
Vifuatavyo ni baadhi ya vitu unavyotakiwa kuvifahamu.
Kwanza tuangalie; Ndoa batili ni nini? Je ni sawa na talaka? Ndoa batili ni uamuzi wa kutangaza kuwa muungano
huo wa watu wawili baina ya mwanamume na mwanamke haukutimiza vigezo vinavyoweza kuihalalisha ndoa tangu mwanzo.
Kwamba kuna kitu hakikuwa sawa wakati...
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Papa Francis akutana na karani aliyekataa ndoa za jinsia moja
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Uamuzi wa wamisri kuhusu katiba mpya
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Uingereza kufanya uamuzi kuhusu ISIS
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Uamuzi wasubiriwa kuhusu rufaa ya Lubanga ICC