Papa Francis atangaza uamuzi mzito
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis anafikiria kufanya mabadiliko makubwa katika kanuni za ndoa zinazozuia wanandoa kutengana bila kibali cha kanisa hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLPAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Ziara ya Papa Francis, Kenya
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Papa Francis na uongozi wa kipekee
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Papa Francis atoa Mpya
5 years ago
CCM BlogPAPA FRANCIS APIMWA CONONA
Papa Francis alipimwa virusi hivyo baada ya mmoja wa wachungaji anayeishi katika katika makazi yake kugundulika kuwa na corona.
Vyombo vya habari nchini Italia viliripoti kuwa mchungaji huyo ambaye ni ofisa wa sekretarieti ya jimbo aligundulika kuwa na virusi vya corona na kuzua hofu kuwa huenda Papa Francis naye ameambukizwa.
Kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Vatican,...
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Maandalizi ya ziara ya Papa Francis
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Obama kukutana na Papa Francis
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Papa Francis azungumzia familia
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Papa Francis kumfufua Nyerere
*Mama Maria Nyerere atangulia Uganda
NA MWANDISHI WETU
ZIARA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis nchini Uganda imetajwa kuwa itafufua mchakato wa kumtangaza Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu.
Kwa mujibu wa mtandao wa ETN wa nchini Uganda, ziara hiyo ya kitume ya Papa Francis itamfikisha katika eneo la Namugongo ambalo mashahidi wa imani ya dini ya Kikristu walichomwa moto.
Ni katika eneo hilo la Namugongo ambako Hayati Nyerere alitangazwa kuwa...