Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iggy Azalea aonesha dalili za kutotaka kufanya collabo na Snoop Dogg, aachia single mpya ‘Beg For It’ (Audio)

Inavyoonekana rapper wa ‘Fancy’ Iggy Azalea licha ya kumsamehe Snoop Dogg, lakini bado kuna kitu ameshikilia moyoni mwake. Rapper huyo wa Australia alipotua uwanja wa ndege wa Los Angeles Alhamisi usiku aliulizwa na paparazzi wa TMZ kama anaweza kuja kufanya collabo na Snoop baada ya beef yao ya hivi karibuni, na jibu la Iggy lilikuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Snoop Dogg amwomba msamaha Iggy Azalea baada ya kushauriwa na T.I

Hatimaye Snoop Dogg amemuomba msamaha rapper wa Australia Iggy Azalea baada ya utani uliozaa beef wiki hii kupitia Twitter na Instagram. Snoop alipost clip ya video Instagram siku ya Jumatano October 15 akimuomba msamaha Iggy na kusema amefikia uamuzi huo baada ya kuongea na rapper T.I anayetarajiwa kuwarusha mashabiki wa Tanzania Jumamosi hii pale Leaders […]

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea amchana Snoop Dogg kwa kumtania Instagram kwa picha ya mwanamke albino

Iggy Azalea hajapendezwa na utani wa Snoop Dogg. Hivi karibuni, Snoop alipost picha ya utani (meme) kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mwanamke albino na kuandika: “Iggy Azalea No Make Up.” Iggy hajafurahishwa na utani huo na ametumia Twitter kumwambia ukweli. “Kwanini upost picha ya aina hiyo kwenye Insta wakati huwa unawatuma mabodyguard wako kuniomba […]

 

9 years ago

Bongo5

Iggy Azalea atangaza jina la album yake mpya

Hit maker wa ‘Fancy’, Iggy Azalea yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotarajia kuachia album zao mpya hivi karibuni, na tayari ametangaza album yake itaitwa ‘Digital Distortion’. Rapper huyo wa Australia ametoa taarifa kuhusu album yake Oct.6 kupitia Twitter alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki wake. Pia alisema kuwa single ya kwanza ya kwenye album hiyo itatoka […]

 

9 years ago

Bongo5

Snoop Dogg aanzisha bidhaa za bangi ‘Leafs by Snoop’

leafs-by-snoop-2015-billboard-650

Snoop Dogg ameamua kuanzisha biashara kupitia kitu anachokipenda zaidi duniani – bangi.

leafs-by-snoop-2015-billboard-650

Rapper huyo ameanzisha bidhaa zitokanazo na majani hayo maarufu duniani kupitia chapa ya ‘Leafs by Snoop.’

Snoop amezindua mradi huo Jumatatu hii huko mbele ya waandishi wa habari na watu wengine.

“Since I’ve been at the forefront of this movement for over 20 years now, I’m a master of marijuana. So naturally, my people can trust that I picked out the finest, freshest products in the game. Let’s...

 

9 years ago

MillardAyo

Christina Milian kamuweka Snoop Dogg kwenye hii mpya; ‘Like Me’ – (Video)!

Christina Milian anaendelea kuzisogeza videos zinazopatikana kwenye Extended Play (EP) yake, 4U… Baada ya kuachia ngoma na rapper Lil Wayne, time hii Christina anaisogeza kwetu nyingine mpya pembeni akiwa na rapper Snoop Dogg. Wimbo unaitwa ‘Like Me’ na official music video yake ipo hewani tayari… kuhusu kumshirikisha Snoop Dogg kwenye mdundo huu, Christina Milian alisema […]

The post Christina Milian kamuweka Snoop Dogg kwenye hii mpya; ‘Like Me’ – (Video)! appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea: Nimeibadilisha Hip Hop

Rapper mwenye asili ya nchini Australia, Iggy Azalea, amesema anaamini hadi sasa amefanikiwa kuleta mabadiliko kadhaa kwenye muziki wa hip hop. “Kama nikiwa na career iliyodumu kwa kipindi kifupi, walau naweza kusema nimesababisha tofauti,” anasema rapper wa Australia, Iggy Azalea kwenye mahojiano na jarida la GQ. “Huwezi kujua ni kwa muda gani utakuwa kwenye neema […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani