Kiongozi wa kundi la waasi auawa Syria
Kiongozi wa kundi moja kuu la waasi nchini Syria ameuawa kwenye shambulio la angani katika viunga vya mji wa Damascus.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Syria yashambulia ngome za waasi
Maelfu ya watu wameuawa upande wa kaskazini-magharibi mwa Syria katika mfululizo wa mashambulizi ya anga.
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Waasi wachelewa kuondoka kambi Syria
Maelfu ya waasi waliotarajiwa kusaidiwa kuondoka kutoka kambi ya wakimbizi ya Yarmouk na maeneo ya karibu wameshindwa kuondoka kama ilivyotarajiwa.
11 years ago
BBCSwahili06 May
Marekani yatambua rasmi waasi wa Syria
Marekani imewapa waasi wa Misri hadhi ya kidiplomasia ambapo wamefungua afisi nchini humo. Hata hivyo hawatambuliwi Kiserikali.
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
UK kuwapa mafunzo ya kijeshi waasi Syria
Uingereza imesema kuwa itatoa mafunzo ya kijeshi kwa waasi wa Syria wanaokabiliana na serikali ya rais Bashar Al Asaad,
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Mlipuko waua viongozi wa waasi Syria
Viongozi 50 wa kundi la waasi wa Syria wameuawa au kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa mhanga.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Serikali yafikia mkataba na waasi Syria
Serikali ya Syria imefikia mapigano ya usitishaji mapigano na makundi ya waasi katika mji wa Horms, hatua inayotajwa na serikali hiyo kama mafanikio makubwa
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Waasi na serikali kusitisha mapigano Syria
Umoja wa mataifa unasema pande zinazozana mjini Homs nchini Syria zimeafikiana kuongeza muda wa kusitisha mapigano kwa siku tatu
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria
Jeshi la Marekani limetoa zaidi ya tani 45 za silaha kwa waasi wanaopambana na wanamgambo wa Islamic State (IS)
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Waasi Syria watumia mateka kuwa ngao
Taarifa kutoka nchini Syria zinaeleza kwamba ,waasi nchini humo wanatumia askari mateka wanajeshi na wengine wenye uhusiano na serikali kama ngao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania