Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!
Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut. Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5. Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka. Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Tanzania kuwekeza dola milioni 120 katika mtandao wake 2015
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Cecile Tiano akiongea na waandishi wa habari kuhusu kampuni yake itakavyowekeza mwaka huu, Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.
Tigo Tanzania imepanga kutumia kiasi cha dola milioni 120 (Shilingi bilioni 221) mwaka huu kwa ajili ya upanuzi wa mtandao wake utakao ongeza ufanisi wa huduma zake nchini.
Akizungumza mipango hiyo ya kampuni kwa mwaka 2015, Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Bi.Cecile Tiano alisema kwamba uwekezaji wa mwaka huu ni ishara...
5 years ago
Michuzi
IMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...
11 years ago
Habarileo13 May
UNDP yatoa dola milioni 22 kwa uchaguzi mkuu
SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limetenga dola za Marekani milioni 22 kwa ajili ya kuunga mkono utoaji elimu kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini. Kiongozi wa shirika hilo, Helen Clark aliuambia Umoja wa Wanawake Wabunge leo mjini hapa kwamba fedha hizo zitatolewa chini ya Mradi wa Uchaguzi unaoendeshwa na shirika lake.
9 years ago
Global Publishers24 Dec
50 Cent amshitaki Rick Ross kwa kutumia beat ya wimbo wake
Curtis James Jackson III ’50 Cent’.
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Curtis James Jackson III ’50 Cent’ amemfungulia mashitaka Rapa
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’ kwa kurap kupitia beat ya wimbo wake wa “In Da Club” wakati akiipigia promo albamu yake mpya ya Black Market.
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’.
50 amefungua shauri hilo Connecticut, Marekani na katika viambatanisho vya kesi hiyo anasema
wimbo wake umetumiwa na Rick Ross katika mixtape yake iitwayo ‘Renzel...
10 years ago
GPL
RICK ROSS AACHIWA KWA DHAMANA YA DOLA MILIONI MBILI
10 years ago
Bongo515 Oct
Picha: 50 Cent aringishia mabunda ya dola 100 Instagram kuthibitisha kuwa hajafilisika!
10 years ago
Vijimambo29 May
MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100



5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya corona: Waziri wa elimu afukuzwa kazi Madagascar kwa kuagiza pipi za dola milioni 2