50 Cent amshitaki Rick Ross kwa kutumia beat ya wimbo wake
Curtis James Jackson III ’50 Cent’.
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Curtis James Jackson III ’50 Cent’ amemfungulia mashitaka Rapa
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’ kwa kurap kupitia beat ya wimbo wake wa “In Da Club” wakati akiipigia promo albamu yake mpya ya Black Market.
William Leonard Roberts II ‘Rick Ross’.
50 amefungua shauri hilo Connecticut, Marekani na katika viambatanisho vya kesi hiyo anasema
wimbo wake umetumiwa na Rick Ross katika mixtape yake iitwayo ‘Renzel...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Dec
50 Cent amshtaki Rick Ross kwa kutumia beat ya ‘In Da Club’ kwenye mixtape yake
![rick-ross-and-50-cent](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/rick-ross-and-50-cent-300x194.jpg)
50 Cent anamshtaki Rick Ross akitaka alipwe dola milioni 2 kwa kuitumia beat ya wimbo wake wa kitambo, ‘In Da Club.’
50 Cent anadai kuwa Rick Ross ametumia wimbo huo bila ruhusa yake ili kuipa kiki albamu yake Black Market.
Mashtaka hayo yamekuja miezi kadhaa baada ya 50 naye kutakiwa kulipa dola milioni 5 kwa Lastonia Leviston baada ya kupost sex tape yake. Leviston ana mtoto na Rick Ross.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...
9 years ago
Bongo509 Nov
50 Cent na Rick Ross waifufua bifu yao
![reg_1024.ross.50.cm.13013_copy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/reg_1024.ross_.50.cm_.13013_copy-300x194.jpg)
50 Cent na Rick Ross walijikuta wakitupiana vijembe kwa mara nyingine kwenye Instagram weekend iliyomalizika.
Ugomvi huo wa maneno ulianza Ijumaa baada ya 50 Cent kudaiwa kupost picha ya t-shirt yenye mgongo wa Rick Ross uliojaa tattoo inayouzwa kwa dola $2.95.
Wakati picha hiyo imefutwa tayari, Ross aliweza kuiona na kujibu kupitia Twitter kwa kuandika. “Forced into #BANKRUPTCY now the Donkey @50cent WORKING 4 #MMG Merch co. selling T’s for 2.95 on the #BLACKMARKET haaa!”
Badala ya kukaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKkt40KMIQSXed*rz8KKS1u*SAQh*CKW8kOnXFLXCtiP7q4WiKz*0V-dmwl2RfZtlVNE0niXb7bwSx8tYpTQiYbL/rickrossgrammy2.jpg?width=650)
RICK ROSS ACHIMBWA MKWARA KUTUMIA PICHA ZA JAY Z
9 years ago
Bongo510 Nov
Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent
![222](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/222-300x194.jpg)
Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.
Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.
Chanzo...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Rick Ross adaiwa kuiba gari la mke wake
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, William Roberts ‘Rick Ross, amekanusha kuhusika katika wizi wa gari ya mke wake aina ya BMW B7 lililokuwa likitumiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 9.
Msanii huyo na mke wake, Tia Kemp, walilinunua gari hilo kwa ajili ya mtoto wao kwenda nalo shule, lakini mara kwa mara Rick Ross alikuwa akipenda kulitumia kitendo kilichokuwa kikizua ugomvi kati yao wa mara kwa mara.
Mwishoni mwa wiki iliyopita gari hilo lilipotea katika...
9 years ago
Bongo519 Sep
Rick Ross amchumbia girlfriend wake Lira Mercer
9 years ago
Bongo512 Nov
Rick Ross na mchumba wake Lira Galore wadaiwa kurudiana, mashabiki wanahisi ilikuwa ni ‘Kiki’
![rozay n lira](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rozay-n-lira-300x194.jpg)
Wiki iliyopita zilienea taarifa za kuvunjika kwa uchumba kati ya Rick Ross na Lira Galore, baada Lira kuonekana akitoka nyumbani kwa rapper huyo akiwa hajavaa pete ya uchumba, na baadae Rozay naye alipost video Snapchat akiwa ameshikilia pete hiyo kitu kilichotoa uthibitisho kuwa huenda kweli uchumba umevunjika.
Lira ambaye aliwahi kuwa stripper jana amepost video mpya kwenye akaunti yake ya Snapchat ambayo inaonesha amevaa pete ile ile, na hakuwa peke yake, alikuwa na Rozay ambaye...
9 years ago
Bongo507 Oct
Rick Ross aeleza jinsi alivyomvisha pete ‘kibabe’ mchumba wake bila kupiga goti
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Rick Ross amtumia mchumba wake Lira Galore kwenye video mpya ‘Sorry’
![rick-ross-sorry-video](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/rick-ross-sorry-video-300x194.jpg)
Rick Ross ameachia video ya wimbo wake ‘Sorry’ aliomshirikisha Chris Brown ambao ulitoka mwezi uliopita.
Kwenye video hiyo Rozay amemtumia mchumba wake Lira Galore kama video model, ikiwa ni siku moja tu imepita toka rapper huyo apost video kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonesha yuko na Lira ambaye alionekana amevaa pete ya uchumba aliyovishwa na Rozay, siku chache toka zisambae taarifa kuwa wawili hao wameachana na Lira karudisha pete.
‘Sorry’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album mpya...