Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: 50 Cent aringishia mabunda ya dola 100 Instagram kuthibitisha kuwa hajafilisika!

Baada ya 50 Cent kutangaza kuwa amefilisika mwezi July mwaka huu, ameibuka na kuringishia mabunda ya dola mia mia kwa followers wake zaidi ya milioni 6.5 wa Instagram. Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa jumba lake la kifahari ambalo alitangaza kuliuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 kushushwa bei na sasa linauzwa kwa dola milioni […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Tazama utani wa dharau ambao 50 Cent amemuonesha Diddy Instagram

Hakuna dalili ya kumalizika karibuni beef kati ya 50 Cent na P.Diddy ambayo imekuwepo kwa miaka mingi. Curtis James Jackson III a.k.a 50 Cent kwa mara nyingine amemchokoza mpizani wake Diddy, kwa kupost picha akiwa na mzee na kumkejeli kwa kuandika caption kana kwamba huyo mzee ndio Diddy. “Mimi na Puff tukiwa tumekaa leo alisema, […]

 

9 years ago

Bongo5

Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)

page

Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.

IMG_9357

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:

It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust 🙏🙏 don’t forget...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Huddah Monroe aringishia mkoko wake mpya

Kwa mujibu wa Huddah Monroe, Chrismas imekuja mapema. Mrembo huyo wa Kenya ameshare picha ya kile alichodai ni gari yake mpya. Huddah akiwa mbele ya gari lake i”Ombea adui yako aishi siku nyingi Ili unapo barikiwa ajioneeeee,” ameandika Huddah kwenye picha hiyo. “No one can block the blessings that God has planned for you because […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet

Floyd Mayweather hakujipa jina la utani ‘Money’ kwa kubahatisha. Bondia huyo ambaye kwa mujibu wa Forbes ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka jana duniani, amepost picha Instagram akiwa amesimama mbele ya magari yake ya kifahari ambayo kwa pamoja yana thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 13.1 na ndege yake binafsi. “Welcome to my toy […]

 

9 years ago

Bongo5

Ni kweli zimeisha? 50 Cent anauuza mjengo wake kwa dola milioni 8.5!

Rapper 50 Cent amepunguza bei ya kuuzia mjengo wake wa kifahari uliopo Connecticut. Nyumba yake yenye ukubwa wa 50,000-square-foot iliyopo mjini Farmington, wenye vyumba 21 na bafu 25 sasa anauuza kwa dola milioni 8.5. Awali nyumba hiyo alikuwa anaiuza kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007 lakini bei hiyo iliendelea kushuka. Wanasheria wanaomwakilisha amesema atajaribu kuiuza […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram (18+)

Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu kuvujishwa mtandao bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo, kwa kuamua kuvujisha mwenyewe picha yake ya utupu kupitia akaunti yake ya Instagram. Amber ambaye ni mama wa mtoto mmoja alishare picha hiyo na […]

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown azungumzia uhusiano wake na Karrueche na kuthibitisha kuwa wako pamoja na hawakuachana

Hivi karibuni Chris Brown na girlfriend wake Karrueche Tran waliripotiwa kuachana kwa muda kabla hawajarudiana tena, habari ambazo mara nyingi hua zinatolewa na vyanzo vya karibu na mastaa hao. Breezy amepata nafasi ya kusafisha kila kitu na kuthibitisha kuwa yeye na Karrueche wako vizuri licha ya kuwa walikuwa tayari wamethibitisha kwa picha mbalimbali za pamoja […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China

Shirika la habari la taifa la Uchina, linaarifu kuwa afisa wa zamani ambaye anashutumiwa kwa ufisadi mamilioni ya dola, amerejeshwa nyumbani

 

11 years ago

Habarileo

Bunge lapewa dola 100,000 kununua vifaa

CHAMA kinachoshughulika katika kupunguza silaha na maridhiano nchini China, kimetoa dola 100,000 (Sh milioni 160) kwa ajili ya kununua vifaa mbalimbali kwa matumizi ya Bunge, ikiwa ni pamoja na kompyuta na vipaza sauti vya kisasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani