Kundi la ‘WAKALI SISI’ latimka na milioni 5 za shindano la Dance100% 2014
Hatimaye kundi la”Wakali Sisi” lenye makazi yake Kiwalani jijini Dar es Salaam, ambalo lilikuwa miongoni mwa makundi matano yaliyoingia fainali za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linaloratibiwa na Kituo cha East Africa Television Ltd na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, limeibuka mshindi katika shindano hilo lililokuwa la kukata kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MPQBN1a3KlU/VDD6zcSbhpI/AAAAAAAGn-8/vSK5cBAlRJA/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Kundi la”WAKALI SISI”latimka na Milioni 5 za shindano la Dance100% 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-MPQBN1a3KlU/VDD6zcSbhpI/AAAAAAAGn-8/vSK5cBAlRJA/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JiLref5A7dg/VDD6ziF3HAI/AAAAAAAGn_A/42W00JkBB5A/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LYZrjK6etVflh5O0bVh7*eucrX6x5*nVPgaId9xV2Pqya0cK9qnCekK7Zr*EtRtvbHY6sjj8andzMfmbBj2mSb-jjJQty3T*/001.FINAL.jpg)
KUNDI LA”WAKALI SISI” LATIMKA NA MILIONI 5 ZA SHINDANO LA DANCE100% 2014
10 years ago
Mwananchi11 Oct
WAKALI SISI: Walivyoonyesha ukali wao katika Dance100% 2014
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wakali Sisi walivyokunja kitita cha mil 5 za Dance100% 2014
HATIMAYE kivumbi cha kuwania kitita cha shilingi mil 5 katika shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% chini ya uratibu wa EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu za...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gn9trQDtvlY/Vf6V-cc_vuI/AAAAAAAH6QI/RlU2FmpzuAA/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
MAKUNDI MATANO YATINGA FAINALI YA SHINDANO LA DANCE100%
![](http://4.bp.blogspot.com/-gn9trQDtvlY/Vf6V-cc_vuI/AAAAAAAH6QI/RlU2FmpzuAA/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M61hbU5G85o/Vf6V-sHijfI/AAAAAAAH6QM/hWfJPGni0sg/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hR8BGW183EU/U3DdrfIn4cI/AAAAAAAAVYQ/WXvwGjTDTaY/s72-c/top20843ad.png)
NANI KUIBUKA NA MILIONI 20 KATIKA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014?
![](http://4.bp.blogspot.com/-hR8BGW183EU/U3DdrfIn4cI/AAAAAAAAVYQ/WXvwGjTDTaY/s1600/top20843ad.png)
Wafuatao ni washiriki wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ambao sasa wapo kijijini Maisha Plus wakiwania zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tzshs. Milioni 20.
MS 01: Elinuru M. Pallangyo - Arusha MS 02: Dorothy D. Pallangyo - Arusha MS 03: Leah D. Mnyambugwe - Dodoma MS 06: Martina G. Chitete - Iringa MS 08: Grace G. Mahumbuka - Kagera MS 10: Zinaida J. Kijeri - Kigoma MS 11: Upendo M. Msuya - Kilimanjaro MS 12: Neema U. Kivugo -...
10 years ago
Dewji Blog31 Aug
Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...
10 years ago
MichuziMWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
10 years ago
GPL03 Oct