Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakali Sisi walivyokunja kitita cha mil 5 za Dance100% 2014

HATIMAYE kivumbi cha kuwania kitita cha shilingi mil 5 katika shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% chini ya uratibu wa EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

WAKALI SISI: Walivyoonyesha ukali wao katika Dance100% 2014

Kundi la ”Wakali Sisi” lenye makazi yake Kiwalani jijini Dar es Salaam, ambalo lilikuwa miongoni mwa makundi matano yaliyoingia fainali za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% limeibuka mshindi katika shindano hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Kundi la”WAKALI SISI”latimka na Milioni 5 za shindano la Dance100% 2014

 Meneja Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akitaniana na kiongozi wa kundi la”Wakali sisi”la kiwalani jijini Dar es Salaam,Baraka Kambona(kushoto)alipokuwa akikabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 5 kwa kundi hilo kama wadhamini wakuu wa shindano la Dance 100% kundi hilo liliibuka washindi katika fainali  ya shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Washindi wa shindano la Dance 100% 2014 kundi la wakali sisi wakiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Kundi la ‘WAKALI SISI’ latimka na milioni 5 za shindano la Dance100% 2014

Hatimaye kundi la”Wakali Sisi” lenye makazi yake Kiwalani jijini Dar es Salaam, ambalo lilikuwa miongoni mwa makundi matano yaliyoingia fainali za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linaloratibiwa na Kituo cha East Africa Television Ltd  na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, limeibuka mshindi katika shindano hilo lililokuwa la kukata kwa […]

 

10 years ago

GPL

KUNDI LA”WAKALI SISI” LATIMKA NA MILIONI 5 ZA SHINDANO LA DANCE100% 2014

Kikundi cha The WT cha jijini Dar es Salaam kilichoshinda nafasi ya pili katika fainali ya shindano la Dance 100% 2014 likionesha umahiri wao wa kudansi katika fainali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam.Ambapo kundi la”WAKALI SISI”toka kiwalani jijini liliibuka na ushindi huo na kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 toka kwa wadhamini wakuu wa shindano...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2015, anyakua kitita cha Sh. Mil.20

sdMshindi wa Mama shujaa wa Chakula 2015 msimu wa Nne, Bi.Carolina Chilele akiwa na tuzo yake wakati wa shuguli hizo za Mama Shujaa wa Chakula ziliofanyika hivi karibuni. 

Hatimaye Shindano la Mama Shujaa wa Chakula shindano linaloendeshwa na shirika la Oxfam kupitia programu yake ya Grow ambapo kauli mbiu ni Wekeza kwa wakulima wanawake wadogo wadogo inalipa lafika tamati ambapo kulikuwa na mchuano mkali kati ya washiriki 15 ambao walikuwa katika Kijiji cha Kisanga, Wilayani Kisarawe Mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanaafa Mwinzago aibuka Kinara wa shindano la TMT 2014 na kuondoka na kitita cha shilingi Milioni 50 za Kitanzania

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV.

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Doris Mole (23) atwaa taji la Miss Singida 2014, apewa kitita cha shilingi laki tano

Huyu ndiye Miss Singida 2014 Doris Mole (23) akiwa na mshindi wa pili Blath Chambo na mshindi wa tatu Lulu Abdul.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Doris Molel (23) Mwanafunzi katika chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salam anayesomea siasa na Maendeleo ya Jamii mwaka wa tatuametwaa taji la Miss Singida Redds 20014.

Katika shindano hilo lililofanyika jana kwenye ukumbi wa chuo ha Uhazili Mjini hapa Molel, mbali na kutwaa taji hilo alijinyakulia kitita cha shilingi laki...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITVMwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na Kuhudhuriwa na...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILLIONI 10/-

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha St.Joseph cha jijini Dar es Salaam ,Ibrahim.M.Ibrahim anayesomea fani ya uhandisi wa kusindika vyakula katika kampasi ya Songea leo amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 10/-alizojishindia kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika tawi la NMB benki house Jijini Dar es Salaam. Ibrahim Ibrahim alikabidhiwa fedha zake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani