DED kizimbani kwa kusababisha hasara ya milioni 24/-
Na Lushishi Robert, Serengeti
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara, imemfikisha mahakamani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Goody Kitambo kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha Serikali hasara ya Sh milioni 24.5.
Kitambo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti akituhumiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuelekeza magari ya halmashauri ya wilaya hiyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Sep
Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-
RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.
5 years ago
Michuzi
Vigogo sita wa Halotel kizimbani kwa utakatishaji na kuisababishia TCRA hasara ya Sh. Bilioni 78.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Halotel Son Nguyen (46), na vigogo wengine watano wa Viettel Tanzania wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78
Washtakiwa wengine ni Nguyen Minh (40) na Vu Tiep Mameneja wa Halotel, Ha Than (39) Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wa Halotel, Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni...
11 years ago
Mwananchi17 May
Kizimbani kwa kuiba masufuria ya Sh355 milioni
11 years ago
Habarileo23 May
Waromania kizimbani hasara ya bil. 2/-
RAIA wawili wa Romania wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kuingilia miundombinu ya mawasiliano na kusababisha hasara ya Sh bilioni 2.1 kwa Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA).
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Kizimbani kuisababishia hasara NMB bil. 1/-
WATU wa tatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la kuisababishia National Microfinance Bank (NMB), hasara ya zaidi ya sh bilioni moja. Wakisomewa shitaka hilo...
11 years ago
Michuzi
FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
Stuttgart,Ujerumani,

10 years ago
Mwananchi06 Nov
Zipa yaingiza hasara ya Sh12.8 milioni
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni