Zipa yaingiza hasara ya Sh12.8 milioni
Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (Zipa) imepata hasara ya Sh612.8 milioni baada ya kutumia gharama kubwa za uendeshaji ikilinganishwa na bajeti yake ya mwaka wa fedha 2012/13, imefahamika visiwani hapa jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Kahawa ya 2014/15 yaingiza Dola 135 milioni za Marekani
10 years ago
Mtanzania23 May
DED kizimbani kwa kusababisha hasara ya milioni 24/-
Na Lushishi Robert, Serengeti
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara, imemfikisha mahakamani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Goody Kitambo kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha Serikali hasara ya Sh milioni 24.5.
Kitambo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti akituhumiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuelekeza magari ya halmashauri ya wilaya hiyo...
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Wezi wa umeme waitia hasara Tanesco Sh200 milioni
9 years ago
StarTV15 Dec
Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.
Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.
Katika...
10 years ago
TheCitizen09 Jul
PCCB has saved Sh12.6bn: Minister
10 years ago
TheCitizen04 Feb
Sh12 billion to broaden solar power supply
11 years ago
TheCitizen30 Jul
Sh12.8tr award for US embassy blast victims