Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-

RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

DED kizimbani kwa kusababisha hasara ya milioni 24/-

Na Lushishi Robert, Serengeti

TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara, imemfikisha mahakamani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Goody Kitambo kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha Serikali hasara ya Sh milioni 24.5.

Kitambo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti akituhumiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuelekeza magari ya halmashauri ya wilaya hiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini

WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND APATA MSHTUKO DENI LA MIL.800

Musa Mateja/mchanganyiko
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 800 na serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. ILIKUWAJE?
Mwishoni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BCU wapata hasara ya Mil. 55/-

CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-

OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...

 

10 years ago

Michuzi

FUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.

PROMOTER BRITTS EVENT MATATANI MJINI STUTTGART,UJERUMANIPolisi wamesema mpaka kieleweke, M-Nigeria Roho Juu
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu Shule ya St Anne zasababisha hasara mil 140/-

Jasson RweikizaVURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa.

 

10 years ago

Habarileo

Mhasibu adaiwa kuiba mil. 48/-

MHASIBU wa Kampuni ya Afro Impex Limited, Paul Tarimo (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu mashitaka ya wizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani