Vurugu Shule ya St Anne zasababisha hasara mil 140/-
VURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
ULEGA AKABIDHI MIL.3 NA MIFUKO YA SARUJI 140 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO



Zoezi hilo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali alizozitoa mbunge Ulega kwenye miradi ya maendeleo.
Miradi iliyonufaika ni pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Lukanga saruji mifuko 50, ujenzi wa zahanati Yavayava saruji mifuko 50, ujenzi wa kivuko Churwi 30, ujenzi...
11 years ago
Habarileo10 Mar
Washindi St Anne wazawadiwa mil.13.2/-
MSHINDI wa kwanza kitaifa wa somo la Hisabati katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana , Sunday Mrutu, kutoka Shule ya St Anne Marie, Dar es Salaam na wanafunzi wenzake 33 waliopata daraja la kwanza, wamepongezwa na shule kwa kupewa fedha taslimu.
11 years ago
BBCSwahili26 Aug
Vurugu za uchaguzi zaleta hasara Afghan.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
BCU wapata hasara ya Mil. 55/-
CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-
OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...
11 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
11 years ago
Habarileo16 Sep
Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-
RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita
.jpg)
.jpg)