ULEGA AKABIDHI MIL.3 NA MIFUKO YA SARUJI 140 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO
Mwamvua Mwinyi, MkurangaMBUNGE wa Jimbo la Mkuranga ambae pia ni Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi ,Abdallah Ulega amekabidhi sh.milioni tatu na mifuko ya saruji 140 kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo Jimbo la Mkuranga.
Zoezi hilo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali alizozitoa mbunge Ulega kwenye miradi ya maendeleo.
Miradi iliyonufaika ni pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Lukanga saruji mifuko 50, ujenzi wa zahanati Yavayava saruji mifuko 50, ujenzi wa kivuko Churwi 30, ujenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU
Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement) kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo la kukabidhi mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa, limefanyika leo Februari 25,2020 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.
Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...
10 years ago
VijimamboCHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
10 years ago
Dewji Blog28 May
Serikali ya Tanzania yasaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion na AfDB kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Aly Abou- Sabaa wakisaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa serikali ya Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory coast.
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw.Aly Abou – Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa...
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Ndaga watumia mil. 90/- miradi ya maendeleo
SERIKALI ya Kijiji cha Ndaga, Kata ya Isongole wilayani Rungwe mkoani Mbeya imetumia zaidi ya sh milioni 90 kujenga miradi ya maendeleo. Miongoni mwa miradi hiyo iliyotekelezwa kwa fedha zilizotokana...
10 years ago
VijimamboNASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.Nassari akikabidhi...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa
5 years ago
MichuziBENKI YA TPB YAKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA MBUNGE VITI MAALUM CCM KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA YA SHULE MKOANI RUKWA
5 years ago
MichuziULEGA AKABIDHI MAGODORO 70 KAMBI YA WATU WALIOPO KARANTINI MKURANGA
NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGA Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amekabidhi Magodoro Sabini (70) kwa ajili ya kambi ya watu walioko kwenye karantini wilayani Mkuranga. Hatua hiyo ya Ulega ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na ugojwa wa Homa ya Mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona ambao umekuwa janga la Ulimwengu. Magodoro hayo, Mbunge huyo aliyapokea kutoka kwa wadau na marafiki mbalimbali walioamua ...