Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe

Mifuko ya saruji 125 iliyonunuliwa kwa fedha za Serikali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kiboriani, Wilaya ya Mpwapwa imeganda baada ya halmashauri kuukataa ushauri wa viongozi wa kijiji hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAKWAYA WA CENTRAL MIRERANI WAKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 34 YA SARUJI KUJENGEA CHOO CHA SHULE YA ENDIAMTU

Na Joseph Lyimo, MireraniShule ya msingi Endiamtu ya Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, yenye upungufu wa matundu 19 ya choo, imepatiwa msaada wa mifuko 34 ya saruji iliyotolewa na kwaya ya Mirerani Central ya Kanisa la Wasabato SDA. Katibu wa Kanisa hilo, Benson Nyaura akizungumza jana wakati akikabidhi mifuko hiyo 34 ya saruji kwa Diwani wa kata ya Endiamtu Lucas Zacharia alisema kanisa ni taasisi inayojali mahitaji ya jamii hivyo wamejitoa ili kusaidia wanafunzi hao.  Nyaura alisema...

 

5 years ago

Michuzi

ULEGA AKABIDHI MIL.3 NA MIFUKO YA SARUJI 140 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO



Mwamvua Mwinyi, MkurangaMBUNGE wa Jimbo la Mkuranga ambae pia ni Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi ,Abdallah Ulega amekabidhi sh.milioni tatu na mifuko ya saruji 140 kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo Jimbo la Mkuranga. 
Zoezi hilo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali alizozitoa mbunge Ulega kwenye miradi ya maendeleo.
Miradi iliyonufaika ni pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Lukanga saruji mifuko 50, ujenzi wa zahanati Yavayava saruji mifuko 50, ujenzi wa kivuko Churwi 30, ujenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa

IMG_1708

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia) msaada wa saruji 1,500 yenye thamani ya shilingi milioni 18 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Lindi ili kuwezesha ujenzi wa maabala 59 katika shule zake za sekondari zipatazo 24. Pembeni wanaoshuhudia ni viongozi wa halmashauri hiyo na wafanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan...

 

10 years ago

Vijimambo

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO.

Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.Nassari akikabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA TPB YAKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA MBUNGE VITI MAALUM CCM KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA YA SHULE MKOANI RUKWA

  Mkurugenzi wa Teknohama na Uendeshaji wa benki ya TPB Jema Msuya (kushoto) akikabidhi mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya shilingi milioni 3.7 kwa Mbunge wa CCM  Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Bupe Mwakang’ata kwa ajili ya kusaidia ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa ya shule mbalimbali Mkoani hapo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa Reiner Rukalah na Mwenyekiti wa UWT Mkoa Maria Kalula.  Mbunge wa Viti Maalum wa Rukwa Bupe Mwakang’ata akishukuru baada ya kupokea msaada wa mifuko 200 ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkinga wapewa saruji mifuko 1,000

KAMPUNI ya saruji Tanga imekabidhi mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara za sayansi shule za Sekondari wilayani Mkinga mkoani hapa. Msaada huo wenye thamani ya...

 

10 years ago

Habarileo

Nasari atoa mifuko 320 ya saruji

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari amechangia mifuko 320 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa chanzo cha maji kwenye mfereji wa Kipilipili na kuzuia upotevu wa maji uliopo baada ya kuharibika.

 

10 years ago

Mtanzania

Meya atoa mifuko ya saruji 50 kukarabati bweni

Na Sheila Katikula, Mwanza
MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula ametoa mifuko ya saruji 50 yenye thamani ya Sh milion moja, kwa ajili ya ukarabati wa mabweni katika shule ya sekondari ya a Nsumba iliyopo jijini Mwanza.
Msaada huo, umetolewa jana kwenye mahafali ya 18 ya kidato cha sita ya shule hiyo, ambapo alimuagiza mkandarasi wa Jiji kukamilisha ujenzi huo.
Alisema lengo la kutoa msaada huo, ni kutokana na shule hiyo kuwa chakavu katika maeneo muhimu kama kwenye mabweni...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani