Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nasari atoa mifuko 320 ya saruji

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari amechangia mifuko 320 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa chanzo cha maji kwenye mfereji wa Kipilipili na kuzuia upotevu wa maji uliopo baada ya kuharibika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Meya atoa mifuko ya saruji 50 kukarabati bweni

Na Sheila Katikula, Mwanza
MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula ametoa mifuko ya saruji 50 yenye thamani ya Sh milion moja, kwa ajili ya ukarabati wa mabweni katika shule ya sekondari ya a Nsumba iliyopo jijini Mwanza.
Msaada huo, umetolewa jana kwenye mahafali ya 18 ya kidato cha sita ya shule hiyo, ambapo alimuagiza mkandarasi wa Jiji kukamilisha ujenzi huo.
Alisema lengo la kutoa msaada huo, ni kutokana na shule hiyo kuwa chakavu katika maeneo muhimu kama kwenye mabweni...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA MADARASA MANYONI


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe, akikabidhi mifuko ya saruji kwa viongozi wa Wilaya ya Manyoni.
Muonekano meza kuu.
Wazazi wa wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa shule ya msingi Sayuni waliofika shuleni hapo kushuhudia makabidhiano ya mifuko ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe.
Wanafunzi wa darasa la sita na la saba wa Shule ya Msingi Sayuni, wakiwa katika picha ya pamoja Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KINGU ATOA SARUJI MIFUKO 30 KUSAIDIA UJENZI WA KANISA LA KKKT KATA YA SEPUKA


Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (wa tatu kushoto)akikabidhi saruji mifuko 30 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Musimi katika Kata ya Sepuka wilayani Ikungi jana.
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (kulia) akizungumza na wajumbe wa kamati ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinyampembee wakati akikagua ujenzi wa Zahanati hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akishiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE 30 VYA NONDO.

Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.Nassari akikabidhi...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KINGU ATOA SARUJI MIFUKO 50 KUSAIDIA KUANZA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU WA UVCCM WILAYA YA IKUNGI



  Mbunge  wa  Singida Magharibi,  Elibariki Kingu ( kushoto) akikabidhi lisiti ya ununuzi wa mifuko 50 ya saruji  kwa Mwenyekiti  wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi, Japhari Dude, yenye thamani ya shilingi 800,000 ili kusaidia uanzaji wa ujenzi wa nyumba ya katibu wa umoja huo katika hafla iliyofanyika jana  Viwanja vya Ofisi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi. Kulia ni Katibu wa UVCCM wa wilaya hiyo, Himidi  Tweve.  Mbunge  wa  Singida Magharibi, ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkinga wapewa saruji mifuko 1,000

KAMPUNI ya saruji Tanga imekabidhi mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara za sayansi shule za Sekondari wilayani Mkinga mkoani hapa. Msaada huo wenye thamani ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

 

11 years ago

Mwananchi

Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe

Mifuko ya saruji 125 iliyonunuliwa kwa fedha za Serikali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kiboriani, Wilaya ya Mpwapwa imeganda baada ya halmashauri kuukataa ushauri wa viongozi wa kijiji hicho.

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU


Na Farida Saidy, Morogoro.

Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement)  kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu  kwa ajili ya ujenzi na ukarabati  wa madarasa  katika  shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Tukio hilo la kukabidhi  mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa,  limefanyika leo Februari 25,2020  katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.

Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani