Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yasaidia mifuko ya saruji kituo cha yatima

Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakiimba na kucheza na watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, wapopokuwa wakiwakabidhi msaada wa mifuko 70 ya saruji. Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YASAIDIA MIFUKO YA SARUJI KITUO CHA YATIMA‏

Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa kwanza kulia waliosimama) akizungumza na watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YASAIDIA SHULE YA SEKONDARI IDODI-IRINGA MIFUKO 220 YA SARUJI

Mifuko ya saruji  220 yenye thamani ya Zaidi Tsh milioni 3. Meneja wa kanda ya nyanda za juu kusini wa PPF Bw. Ephrahim Mwaikenda  akimkabidhi msaada wa saruji mifuko 220 yenye thamani ya Zaidi Tsh milioni 3 kwa  Mkuu wa shule ya Sekondari Idodi, Christopher Mwasomola  kwaajili ya kujengea majengo yaliyoungua moto katika shule ya Sekondari Idodi iliyopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa

IMG_1708

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia) msaada wa saruji 1,500 yenye thamani ya shilingi milioni 18 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Lindi ili kuwezesha ujenzi wa maabala 59 katika shule zake za sekondari zipatazo 24. Pembeni wanaoshuhudia ni viongozi wa halmashauri hiyo na wafanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan...

 

10 years ago

Habarileo

Nasari atoa mifuko 320 ya saruji

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari amechangia mifuko 320 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa chanzo cha maji kwenye mfereji wa Kipilipili na kuzuia upotevu wa maji uliopo baada ya kuharibika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkinga wapewa saruji mifuko 1,000

KAMPUNI ya saruji Tanga imekabidhi mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara za sayansi shule za Sekondari wilayani Mkinga mkoani hapa. Msaada huo wenye thamani ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Meya atoa mifuko ya saruji 50 kukarabati bweni

Na Sheila Katikula, Mwanza
MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula ametoa mifuko ya saruji 50 yenye thamani ya Sh milion moja, kwa ajili ya ukarabati wa mabweni katika shule ya sekondari ya a Nsumba iliyopo jijini Mwanza.
Msaada huo, umetolewa jana kwenye mahafali ya 18 ya kidato cha sita ya shule hiyo, ambapo alimuagiza mkandarasi wa Jiji kukamilisha ujenzi huo.
Alisema lengo la kutoa msaada huo, ni kutokana na shule hiyo kuwa chakavu katika maeneo muhimu kama kwenye mabweni...

 

11 years ago

Mwananchi

Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe

Mifuko ya saruji 125 iliyonunuliwa kwa fedha za Serikali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kiboriani, Wilaya ya Mpwapwa imeganda baada ya halmashauri kuukataa ushauri wa viongozi wa kijiji hicho.

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU


Na Farida Saidy, Morogoro.

Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement)  kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu  kwa ajili ya ujenzi na ukarabati  wa madarasa  katika  shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Tukio hilo la kukabidhi  mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa,  limefanyika leo Februari 25,2020  katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.

Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani