Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa

IMG_1708

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia) msaada wa saruji 1,500 yenye thamani ya shilingi milioni 18 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Lindi ili kuwezesha ujenzi wa maabala 59 katika shule zake za sekondari zipatazo 24. Pembeni wanaoshuhudia ni viongozi wa halmashauri hiyo na wafanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa Gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki(wa katikati) akimkabidhi funguo Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Abdallah Ulega(wa pili kushoto) za jengo la Wauguzi la Zahanati ya Nangurukuru wilayani Kilwa. Wa kanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleman Ally Bungara 'Bwege' na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilwa Mzee Ally Mtopa.(Picha na...

 

10 years ago

GPL

PAN AFRICAN ENERGY WAKABIDHI NYUMBA YA WATUMISHI ZAHANATI YA NANGURUKURU-KILWA

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya Uchimbaji wa Gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (katikati) akimkabidhi funguo Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Abdallah Ulega(wa pili kushoto) za jengo la Wauguzi la Zahanati ya Nangurukuru wilayani Kilwa. Wa kanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleman Ally Bungara 'Bwege' na wa kwanza kulia ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

PANAFRICAN Energy yatoa yafadhili ujenzi wa wodi ya ‘Mama Ngonjea’ hospitali ya wilaya Kinyonga Kilwa Kivinje

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki (wa tatu kushoto) pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
 Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

 

10 years ago

Vijimambo

Kampuni ya TTCL yasaidia mifuko ya saruji kituo cha yatima

Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi na maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakiimba na kucheza na watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, wapopokuwa wakiwakabidhi msaada wa mifuko 70 ya saruji. Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha...

 

10 years ago

Michuzi

Shirika la EGPAF latoa msaada wa vifaa tiba kwa Hopitali ya Wilaya ya Kilwa

Shirika lisilo la kiserikali la EGPAF limekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi 25 milioni kwa hospitali ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. 
Halfla ya kukabidhi vifaa hivyo vitakavyotumika katika uchunguzi wa awali wa tatizo la saratani ya mlango wa kizazi kwa akinamama ilifanyika jana katika mji wa Kilwa kivinje.
Akikabidhi vifaa hivyo ikiwamo mashine maalum ya kuchunguzia ili kutambua dalili za awali za ugonjwa huo mratibu wa afya,uzazi na jinsia wa shirika hilo,Angasyege...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA

 Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la  mvua ya mawe  katika  kata ya Mwakata  ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama,  Benson Mpesya  wa katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi  mabati 176  na mifuko ya saruji 130  vilivyotolewa na kampuni ya bia  ya TBL  kulia anayekabidhi ni  meneja mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa kamati Patrick Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala lengo la msaada huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YASAIDIA MIFUKO YA SARUJI KITUO CHA YATIMA‏

Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa pili kulia) akiwakabidhi watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Kaimu Mkuu wa Biashara TTCL Kanda ya Dar es Salaam, Bw. David Dirisha (wa kwanza kulia waliosimama) akizungumza na watoto wa Kituo cha watoto yatima cha Mama wa Huruma, kilichopo eneo la Madale Wazo Hill nje...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani