Shirika la EGPAF latoa msaada wa vifaa tiba kwa Hopitali ya Wilaya ya Kilwa
Shirika lisilo la kiserikali la EGPAF limekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi 25 milioni kwa hospitali ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.
Halfla ya kukabidhi vifaa hivyo vitakavyotumika katika uchunguzi wa awali wa tatizo la saratani ya mlango wa kizazi kwa akinamama ilifanyika jana katika mji wa Kilwa kivinje.
Akikabidhi vifaa hivyo ikiwamo mashine maalum ya kuchunguzia ili kutambua dalili za awali za ugonjwa huo mratibu wa afya,uzazi na jinsia wa shirika hilo,Angasyege...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA UZIKWASA LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA WILAYA YA PANGANI
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashsuri ya wilaya ya Pangani Isaya Mbenje
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa
10 years ago
MichuziShirika la PSPF latoa msaada wa madawati jijini Dar
10 years ago
MichuziTRA yatoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja,Zanzibar leo
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Miss Singida 2014 Dorice Mollel atoa msaada wa vifaa tiba kwa wodi ya watoto njiti
Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya watoto 284 hadi 300, huzaliwa kila...
10 years ago
GPLMISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Wilaya ya Rufiji yapokea vifaa tiba
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid akiongea na wananchi wa kata ya Mbwala wilayani Rufiji mkoa wa Pwani Juma Ligomba hivi karibuni kabla ya kukabidhi vifaa tiba ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani humo.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid amekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 23.8 ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na...
5 years ago
CCM BlogTAASISI YA ANDALUSIA NA HANDS HAPPY ZAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KINGA DHIDI YA CORONA KWA WILAYA YA ILALA
Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kinga dhidi ya Corona kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema wenye thamani ya sh. mil. 7, vikiwemo vifaa vya mavazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa ugonjwa huo.
Kiongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Andalusia pamoja na Happy Hands, Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa vya kinga dhidi ya Corona kwa...
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Mlata atoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 5.7 kwa kituo cha afya cha Sokoine
Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.
Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...