Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA yatoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja,Zanzibar leo

 Mkurugenzi wa Walipakodi na Elimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Richard Kayombo (wa tatu kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar,Dkt. Jamala Adam Taib (wa tatu kushoto) sehemu ya msaada wa vifaa tiba vya hospitali vilivyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania vyenye thamani ya shilingi Mil. 20 vitakavyotumiwa katika hospitali hiyo leo Novemba 19,2014,Zanzibar. Makabidhiani hayo yamefanyika kufuatia muendelezo wa Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa mashuka 150 yatakayotumika jana mjini Babati kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando. Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera kifaa tiba cha mama mjamzito jana mjini Babati ili kitumiwe na wanawake watakaopata huduma ya matibabu kwenye hospitali...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MAAFISA AFYA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA MAJI SAFI NA VIFAA TIBA, KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU CHUMBUNI ZANZIBAR.

 Katibu wa Jumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar Ahmed Suleiman akinawa mikono mara tu alipotoka  kwenye wodi za wagonjwa wa Kipindupindu. Picha ya pamoja ya wanajumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar na wauguzi wa kambi ya Kipindupindu Chumbuni.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Diaspora Wakabidhi Msaada wa Dawa za Magonwa ya Binaadamu kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jidawi akizungumza na Madaktari Diaspora kutoka Washington walipofika Afisini kwake kwa kujutambulisha ujio wao Zanzibar walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Washington wakiwa chini ya uenyeji wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ),wakiwa Zanzibar wametoa huduma ya kucheki waginjwa wa Kisukari na Meno na kutoa Elimu ya Afya Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Afya Mombasa Zanzibar.   Katibu Mkuu Dr Jidawi...

 

11 years ago

Mwananchi

LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali

Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa, LAPF, umekabidhi misaada mbalimbali kwa Hospitali ya Hydom, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Vijimambo

Chuo cha Biashara Dae-es-Salaam (CBE) Chatoa Msaada kwa Wadi za Wazazi na Watoto Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema akitoa maelezo kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo katika hafla ya kukabidhi mashuka katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar,...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB wametoa msaada Hospitali ya Mnazi Mmoja na Shule ya Msingi Mwanakwerekwe, Z’bar

Afisa Mkuu Fedha NMB, Waziri Barnabas akikabidhi vitanda vya kujifungulia wakina mama wajawazito katibu mkuu wa wizara ya Afya Zanzibar, Asha Ali Abdalla kwaajili ya hospitali ya Mnazi Mmoja, Z’bar.NMB imetoa msaada wa zaidi ya madawati 50 kwa ajili ya kusaidia shule ya msingi Mwanakwerekwe E na vitanda vya wagonjwa kwa ajili ya hospitali ya mnazi mmoja, misaada yote ikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 10.
Afisa Mkuu Fedha wa NMB, Waziri Barnabas alisema msaada huo ni mwitikio wa NMB...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AFUNGUA ICU HOSPITALI YA MNAZI MMOJA,ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, wakifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea wodi mpya ya wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja, baada ya kuifungua rasmi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAKE WATEMBELEA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA,ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Jamala Adam Taib akimueleza Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif kazi zinazofanywa na Idara hiyo alipofika ofisini kwake kuanza ziara ya kutembelea Hospitali hiyo. Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif akiongozana na Naibu wake Mh. Mahmoud Thabit Kombo wakitembelea eneo la Hospitali ya Mnzammoja katika ziara yake ya kutembelea Hospitali hiyo. Mkuu wa kitengo cha maradhi ya kisukari katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Dkt Miskia Ali akitowa maelezo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani