Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali

Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa, LAPF, umekabidhi misaada mbalimbali kwa Hospitali ya Hydom, mkoani Manyara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TRA yatoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja,Zanzibar leo

 Mkurugenzi wa Walipakodi na Elimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Richard Kayombo (wa tatu kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar,Dkt. Jamala Adam Taib (wa tatu kushoto) sehemu ya msaada wa vifaa tiba vya hospitali vilivyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania vyenye thamani ya shilingi Mil. 20 vitakavyotumiwa katika hospitali hiyo leo Novemba 19,2014,Zanzibar. Makabidhiani hayo yamefanyika kufuatia muendelezo wa Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa mashuka 150 yatakayotumika jana mjini Babati kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando. Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera kifaa tiba cha mama mjamzito jana mjini Babati ili kitumiwe na wanawake watakaopata huduma ya matibabu kwenye hospitali...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA

 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo. Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari Dodoma Ndugu Marco Masala akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi  vilivyotolewa na LAPF. Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF       Baadhi ya Wanafunzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MSAADA WENYE THAMANI YA TSH 2,800,000/= KWA KITUO CHA AFYA MAKOLE DODOMA

Mfuko wa Pensheni wa LAPF wenye makao yake makuu mjini Dodoma, umetoa msaada wenye thamani ya shilingi 2,800,000/= kwa kituo cha Afya cha Makole. Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Mashuka 50, Vyandarua 50 pamoja na Vifaa mbalimbali vya kufanyia usafi kwenye kituo hicho.
Msaada huo umelenga kuboresha huduma kwa wagonjwa wanaolazwa kituoni hapo wengi wao wakiwa ni kina mama wajawazito na watoto. LAPF inaunga mkono jitihada za Serikali katika kuboresha huduma za Afya nchini. 
Kadhalika ...

 

11 years ago

Habarileo

Lake Oil yatoa msaada kwa hospitali tatu

KAMPUNI ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 11.3 katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala) na Temeke, unalenga kupunguza changamoto za utoaji huduma za afya katika hospitali za umma nchini.

 

10 years ago

Michuzi

NMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 ikiwa na lengo la kusaidia uboreshaji wa huduma katika hospitali hiyo kubwa kwa mikoa ya kanda ya kati – Singida na Dodoma.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...

 

10 years ago

Michuzi

UN-ICTR Yatoa Msaada wa Vifaa vya kazi kwa Mahakama Kuu ya Tanzania

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yenye makao yake makuu mjini Arusha imekabidhi msaada wa vifaa vya ki-eletronic vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi za kimakahakama kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tazania Mhe. Othman Mohamed Chande katika sherehe fupi iliyofanyika mahakamani hapo Arusha. Vifaa hivyo ni pamoja na mashine 19 ziitwazo Dictaphone Machines na mashine nyingine 19 ziitwazo Transcribers. Viffaa hivyo vilikabidhiwa na Kaimu Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

URA SACCOS YATOA MSAADA VIFAA VYA KITABIBU KWA JESSHI LA POLISI


Mkuu wa kitengo cha rasilimaliwatu Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Anthony Rutashuburugukwa, akikata utepe kuashiria kupokea vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 kutoka Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS), kulia kwake ni mwakilishi wa bodi ya URA SACCOS, Stanford Busumbiro na kushoto kwake ni Kamanda wa Kikosi cha Afya, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hussein Yahaya. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani