Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lake Oil yatoa msaada kwa hospitali tatu

KAMPUNI ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 11.3 katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala) na Temeke, unalenga kupunguza changamoto za utoaji huduma za afya katika hospitali za umma nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali

Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa, LAPF, umekabidhi misaada mbalimbali kwa Hospitali ya Hydom, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Michuzi

NMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 ikiwa na lengo la kusaidia uboreshaji wa huduma katika hospitali hiyo kubwa kwa mikoa ya kanda ya kati – Singida na Dodoma.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...

 

9 years ago

Michuzi

Jamani Foundation yatoa msaada wa madawati 150 kwa shule tatu za Temeke

Kaimu meneja wa uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Hamza Hassan (Kushoto), akipokea msaada wa madwati 150 kutoka taasisi ya Jamani (Jamani Foundation) kwa niaba ya shule za msingi za Umoja, Kigilagila, na Muungano zilizopo manispaa ya Temeke. Kulia ni Nirmala Pabari, katikati ni MS Sadrudin Virji, ambao ni watendaji wa Jamani Foundation

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

10 years ago

Michuzi

TRA yatoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja,Zanzibar leo

 Mkurugenzi wa Walipakodi na Elimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Richard Kayombo (wa tatu kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar,Dkt. Jamala Adam Taib (wa tatu kushoto) sehemu ya msaada wa vifaa tiba vya hospitali vilivyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania vyenye thamani ya shilingi Mil. 20 vitakavyotumiwa katika hospitali hiyo leo Novemba 19,2014,Zanzibar. Makabidhiani hayo yamefanyika kufuatia muendelezo wa Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi...

 

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CBA (Commercial Bank of Africa (Tanzania) yatoa msaada wa Matanki ya Maji kwa Hospitali za Umma jijini Dar es salaam.

Benki ya Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania imetoa msaada wa matanki nane ya maji yasiyo na mkono kwa hospitali nne zilizochaguliwa jijini Dar es salaam kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ya kusafisha mikono ambayo ni hatua muhimu katika kupambana na COVID-19.

Akikabidhi mchango huo Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA, Gift Shoko amesema msaada huo ni sehemu ya hatua zilizochukuliwa na CBA kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na kusambaa kwa COVID-19 nchini Tanzania.

"Commercial...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MSAADA HOSPITALI YA AMANA

Ofisa Masoko wa Global Publishers Ltd, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akikabidhi hundi kwa Ofisa Usimamizi wa Ubora wa Hospitali ya Amana, Lucy Mbusi (kulia). Katikati anayeshuhudia ni Ofisa wa Teknolojia ya Habari  wa hospitali hiyo, Lucas Mjema. (Picha na Richard Bukos / GPL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani