Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL YATOA MSAADA HOSPITALI YA AMANA

Ofisa Masoko wa Global Publishers Ltd, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akikabidhi hundi kwa Ofisa Usimamizi wa Ubora wa Hospitali ya Amana, Lucy Mbusi (kulia). Katikati anayeshuhudia ni Ofisa wa Teknolojia ya Habari  wa hospitali hiyo, Lucas Mjema. (Picha na Richard Bukos / GPL)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Clouds yatoa msaada hospitali Temeke

KAMPUNI ya Clouds Media Group imetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kukabidhiwa  vifaa hivyo ambavyo vitatumika kwa wajawazito na wagonjwa...

 

11 years ago

Habarileo

Sumatra yatoa msaada hospitali ya Kisarawe

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetoa msaada wa vifaa vya hospitalini na kuwapa zawadi waliojifungua katika Hospitali ya Wilaya, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Mwaka mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali

Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa, LAPF, umekabidhi misaada mbalimbali kwa Hospitali ya Hydom, mkoani Manyara.

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni

 Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka. Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.  Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa. Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja...

 

11 years ago

Habarileo

Lake Oil yatoa msaada kwa hospitali tatu

KAMPUNI ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 11.3 katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala) na Temeke, unalenga kupunguza changamoto za utoaji huduma za afya katika hospitali za umma nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road

Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL. Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL.Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada huo. Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani