Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra yatoa msaada hospitali ya Kisarawe

MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetoa msaada wa vifaa vya hospitalini na kuwapa zawadi waliojifungua katika Hospitali ya Wilaya, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Mwaka mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya elimu Kisarawe

Wanafunzi wa shule ya msingi Chazinge A iliyopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wamenufaika kwa kupatiwa msaada wa vifaa vya elimu kutoka taasisi ya kusaidia masuala ya jamii ya Vodacom Foundation.Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati (Mathematics set)pamoja na kalamu.
Akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa hivyo kwa wanafunzi jana,Kaimu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Clouds yatoa msaada hospitali Temeke

KAMPUNI ya Clouds Media Group imetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwa Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kukabidhiwa  vifaa hivyo ambavyo vitatumika kwa wajawazito na wagonjwa...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MSAADA HOSPITALI YA AMANA

Ofisa Masoko wa Global Publishers Ltd, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akikabidhi hundi kwa Ofisa Usimamizi wa Ubora wa Hospitali ya Amana, Lucy Mbusi (kulia). Katikati anayeshuhudia ni Ofisa wa Teknolojia ya Habari  wa hospitali hiyo, Lucas Mjema. (Picha na Richard Bukos / GPL)

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni

 Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka. Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.  Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa. Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja...

 

11 years ago

Mwananchi

LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali

Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa, LAPF, umekabidhi misaada mbalimbali kwa Hospitali ya Hydom, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Michuzi

NMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 ikiwa na lengo la kusaidia uboreshaji wa huduma katika hospitali hiyo kubwa kwa mikoa ya kanda ya kati – Singida na Dodoma.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...

 

11 years ago

Habarileo

Lake Oil yatoa msaada kwa hospitali tatu

KAMPUNI ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 11.3 katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala) na Temeke, unalenga kupunguza changamoto za utoaji huduma za afya katika hospitali za umma nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani