Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya elimu Kisarawe
![](http://1.bp.blogspot.com/-vp1Ywlooi64/Vk2R1jwdSWI/AAAAAAAIGwc/qN3yBRumuHs/s72-c/001.VF%2BMEDIA.jpg)
Wanafunzi wa shule ya msingi Chazinge A iliyopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wamenufaika kwa kupatiwa msaada wa vifaa vya elimu kutoka taasisi ya kusaidia masuala ya jamii ya Vodacom Foundation.Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati (Mathematics set)pamoja na kalamu.
Akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa hivyo kwa wanafunzi jana,Kaimu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_gNKJEddIsQ/XtZnZ1LJYMI/AAAAAAALsWQ/2-1LUc2ZQvsEvPqCqrvXNHlw31TppmvbACLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-Ukerewe1AAA-768x512.jpg)
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga
![](https://1.bp.blogspot.com/-_gNKJEddIsQ/XtZnZ1LJYMI/AAAAAAALsWQ/2-1LUc2ZQvsEvPqCqrvXNHlw31TppmvbACLcBGAsYHQ/s640/Pic-Ukerewe1AAA-768x512.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://4.bp.blogspot.com/-GVCjpZVforM/XtUQpeNXfPI/AAAAAAAA47E/euswCQYz7Bk27j_rTf4sLJdJNirDKIxxACNcBGAsYHQ/s72-c/9.jpeg)
HUHESO FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KAHAMA
![](https://4.bp.blogspot.com/-GVCjpZVforM/XtUQpeNXfPI/AAAAAAAA47E/euswCQYz7Bk27j_rTf4sLJdJNirDKIxxACNcBGAsYHQ/s640/9.jpeg)
Shirika la Huheso Foundation lenye makao yake Malunga Wilayani Kahama mkoani Shinyanga limetoa msaada wa vifaa vya kujikinga na Maambukizi ya virusi vya Corona vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni nne katika halmashauri ya Mji wa Kahama.
Akikabidhi vifaa hivyo leo Jumatatu Juni 1,2020 kwa Mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha, Mkurugenzi wa shirika la Huheso Foundation na Huheso Fm Radio Bw. Juma Mwesigwa amesema vifaa hivyo ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi zinazofanywa na...
5 years ago
MichuziODO UMMY FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA TAASISI ZA DINI JIJINI TANGA
MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia akizungumza wakati akishukuru Taasisi ya Odo Ummy Foundation kwa msaada ndoo 120 na sabuni 60 ikiwemo vifaa vyake vya
kuwekea ndoo hizo ili kuwawezesha kuzitumia katika kuhakikisha wanajikinga na
maambukizi hayo ambayo kwa sasa yamekuwa yakilitikisha dunia katikati
ni Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga
Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga kulia akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias...
10 years ago
MichuziNIC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA ELIMU KWA WATOTO WENYE UONI HAFIFU KITUO CHA ALBINO BUHANGIJA SHINYANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-nuoWsihaC3k/VUDGx4KO5MI/AAAAAAAAAFU/hB66Gxo6jLc/s1600/12.jpg)
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
TBL yatoa msaada wa vifaa vya usafi Ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-2YxUlPAojJE/VR2NH1sd0RI/AAAAAAABQIU/zMle1zYwtA0/s1600/TBL.jpg)
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Xx4TI3PRens/XnKNJ596tUI/AAAAAAALkXM/UtX5m5ZwiZAj5MwNEhpXTckiaKJ3rFR2gCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_3219-2048x1181.jpg)
Vodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xx4TI3PRens/XnKNJ596tUI/AAAAAAALkXM/UtX5m5ZwiZAj5MwNEhpXTckiaKJ3rFR2gCLcBGAsYHQ/s640/DSC_3219-2048x1181.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/DSC_3271-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/02-1-scaled.jpg)
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Dkt. Ismail Gatalya wakati akitoa elimu na mafunzo kwa wafanyakazi hao juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.