WANAKWAYA WA CENTRAL MIRERANI WAKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 34 YA SARUJI KUJENGEA CHOO CHA SHULE YA ENDIAMTU
.jpg)
Na Joseph Lyimo, MireraniShule ya msingi Endiamtu ya Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, yenye upungufu wa matundu 19 ya choo, imepatiwa msaada wa mifuko 34 ya saruji iliyotolewa na kwaya ya Mirerani Central ya Kanisa la Wasabato SDA. Katibu wa Kanisa hilo, Benson Nyaura akizungumza jana wakati akikabidhi mifuko hiyo 34 ya saruji kwa Diwani wa kata ya Endiamtu Lucas Zacharia alisema kanisa ni taasisi inayojali mahitaji ya jamii hivyo wamejitoa ili kusaidia wanafunzi hao. Nyaura alisema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Mifuko ya saruji kujengea zahanati yaganda kwa uzembe
5 years ago
Michuzi
WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...
5 years ago
MichuziDC CHONJO AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI SHULE YA MSINGI MJI MKUU
Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amekabidhi mifuko 50 ya Saruji (Cement) kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji Mkuu kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule hiyo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo la kukabidhi mifuko hiyo ya Saruji 50 kwa ajili ya Ujenzi wa Madarsa, limefanyika leo Februari 25,2020 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mkuu.
Dc Chonjo, amekabidhi mifuko hiyo kwa Uongozi wa Shule ya Msingi Mji...
10 years ago
Michuzi
PPF YASAIDIA SHULE YA SEKONDARI IDODI-IRINGA MIFUKO 220 YA SARUJI



5 years ago
Michuzi
DC NDEJEMBI AONGOZA ZOEZI LA UJENZI WA MSINGI SHULE YA SEKONDARI, ACHANGIA MIFUKO 10 YA SARUJI
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deo Ndejembi hii leo ameongoza zoezi la uchimbaji msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari katika Kata ya Chamkoroma wilayani humo ambayo ikikamilika itakua ikihudumia wanafunzi kutoka vijiji saba vya kata hiyo.
DC Ndejembi pia ameahidi kuchangia mifuko 10 ya Saruji ili kuwezesha kukamilika mapema kwa Shule hiyo ambayo itaenda kumaliza changamoto ya watoto wanaotembea umbali mrefu kwenda Shule ilipo.
Akizungumza na wananchi wa kata...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa
10 years ago
VijimamboCHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KUJENGA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
5 years ago
Michuzi
Shirika la nyumba la Taifa mkoani Arusha lakabithi mifuko 100 ya saruji shule ya sekondari Felix Mrema

Kushoto Ni meneja wa shirika la nyumba la Taifa mkoani Arusha, Ladislaus Bamanyisa akimkabithi mifuko Mia moja ya saruji Jana mkuu wa shule ya sekondari Felix Mrema ,Reginaldo Msendekwa aliyepo kulia katikati ni Mwenyekiti wa mtaa wa Jamhuri , Hussein Dudu ,ambapo mifuko hiyo ya saruji itasaidia ukarabati wa sakafu iliyochakaa

Mkuu wa shule ya sekondari Felix Mrema Reginaldo Msendekwa akimuonyesha Meneja wa shirika la nyumba , Ladislaus Bamanyisa aliyeko kushoto moja ya vioo vilivyowekwa...
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Kampuni ya TTCL yasaidia mifuko ya saruji kituo cha yatima


