ULEGA AKABIDHI MAGODORO 70 KAMBI YA WATU WALIOPO KARANTINI MKURANGA
NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGA Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amekabidhi Magodoro Sabini (70) kwa ajili ya kambi ya watu walioko kwenye karantini wilayani Mkuranga. Hatua hiyo ya Ulega ni kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na ugojwa wa Homa ya Mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona ambao umekuwa janga la Ulimwengu. Magodoro hayo, Mbunge huyo aliyapokea kutoka kwa wadau na marafiki mbalimbali walioamua ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziULEGA AKABIDHI MIL.3 NA MIFUKO YA SARUJI 140 KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO
Mwamvua Mwinyi, MkurangaMBUNGE wa Jimbo la Mkuranga ambae pia ni Naibu wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi ,Abdallah Ulega amekabidhi sh.milioni tatu na mifuko ya saruji 140 kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo Jimbo la Mkuranga.
Zoezi hilo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi mbalimbali alizozitoa mbunge Ulega kwenye miradi ya maendeleo.
Miradi iliyonufaika ni pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Lukanga saruji mifuko 50, ujenzi wa zahanati Yavayava saruji mifuko 50, ujenzi wa kivuko Churwi 30, ujenzi...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA
5 years ago
MichuziHATUJATOA MAELEKEZO YA KUFUNGWA MINADA YETU,WATU WAENDELEE KUCHAPA KAZI-ULEGA
Akizungumza jana,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega alisema msimamo wa serikali upopale pale haujazuiwa biashara ikiwemo minada ya samaki na wanyama na waliaonzakufungia minada hiyo kuacha mara moja...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Watu sita wawekwa karantini jela Guinea
5 years ago
MichuziWATU 34 WARUHUSIWA KUTOKA KARANTINI MKOANI SIMIYU
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Bariadi Mjini, Aprili 18, 2020 ambapo ameshiriki katika ibada ambayo waumini hao wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watanzania wote kuingia katika maombi ya siku tatu ( Aprili 17-19, 2020) kuliombea Taifa ili Mungu aliponye na janga la Corona.
Baadhi ya Wazee wa Kanisa wa Kanisa la SDA Bariadi mjini wakiwaongoza...
5 years ago
CCM BlogWATU 30 WARUHUSIWA MKOA WA SIMIYU WALIOKUWA KATIKA KARANTINI
Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Aprili 18, wakati akiongea na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Bariadi kwenye ibada ambayo iliambatana na maombi maalumu ya kuliombea taifa kuepuka na janga la corona.
Mtaka amesema watu hao...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona:Serikali Kenya yaapa kuwakamata watu 50 waliotoroka karantini
5 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZZ: WATU 18 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 15 WAJERUHIWA KWA AJALI WILAYANI MKURANGA.
Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahewa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Kamanda Lyanga amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo Jumatano Aprili 15, 2020 na kwamba imehusisha lori na gari la abiria aina ya Toyota Coaster.“Ni Kweli tuko kwenye eneo la tukio, ajali imetokea na imesababisha vifo vya watu 18 na majeruhi 15,” amebainisha...
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Watu wenye silaha wavamia kambi ya jeshi India