Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu wenye silaha wavamia kambi ya jeshi India

Washambuliaji wanne wameuawa baada ya wanajeshi wa India kuzima shambulio la mapema asubuhi katika kambi la jeshi ya Pathankot.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Unbelivable: Marehemu Fidel Odinga Alikuwa ni Zaidi ya Kambi ya Jeshi Tizama Silaha zilizokutwa kwake.

Fidel Odinga na mkewePolisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndaniya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,Pia walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema

 

9 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wajeruhi, wapora malori Masasi

Watu kadhaa wamejeruhiwa, mmoja yuko mahututi na amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Ndanda wilayani Masasi baada ya watu wenye silaha kuteka malori matano toka katika kijiji cha Nangoo kilichopo barabara kuu ya Mtwara- Masasi.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KUWACHUKULIA HATUA KALI WATU WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka askari Polisi kote nchini kufanyakazi kwa kuzingatia weledi bila kumuonea mtu yeyote na kuendelea kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha.

IGP Sirro amesema hayo leo akiwa mkoani Tabora ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo huku akiwataka kuhakikisha kuwa kila mtu anatimiza wajibu wake hasa tunapoelekea kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu sambamba na kuwachukulia hatua wale wasiotaka...

 

9 years ago

Habarileo

Waalgeria ‘wavamia’ kambi

WAKATI timu ya Taifa ya Algeria chini ya Kocha wao Mfaransa, Christian Gourcuff ikiwa ‘mafichoni’ jana, kambi ya timu ya taifa haikuwa na ulinzi wowote huku maofisa na waandishi wa Algeria wakiingia watakavyo.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)

 

Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.

Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.

Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) wenye thamani ya dola laki moja z

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe aliokuja nao mgeni wake.   Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) mara baada ya kutia saini mkataba wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani