BCU wapata hasara ya Mil. 55/-
CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Walima korosho wapata hasara
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-
OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...
10 years ago
Habarileo16 Sep
Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-
RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.
11 years ago
Habarileo05 Feb
Vurugu Shule ya St Anne zasababisha hasara mil 140/-
VURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Mil. 2 wapata vitambulisho
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perreira Ame Sillima, amesema tayari Watanzania zaidi ya milioni mbili wamepatiwa vitambulisho vya taifa. Akizungumzia mafanikio na changamoto za wizara hiyo kwa...
11 years ago
GPLGONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!
5 years ago
MichuziKOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3
………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...
11 years ago
Habarileo05 Aug
Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-
ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.