Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walima korosho wapata hasara

Asilimia 70 ya wakulima wa korosho wa mikoa ya Ruvuma na Pwani katika msimu uliopita wamepata hasara baada ya kuuza korosho zao chini ya Sh1,000, wakati wakulima wenzao wa Mikoa ya Tanga,Lindi na Mtwara wamepata faida kwa kuuza bei ya kati ya Sh1000 hadi Sh1,350.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuwashushia neema walima korosho

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya ujenzi ili kushusha bei na kuwawezesha wananchi kujenga nyumba bora.

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi neema kwa walima korosho

ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BCU wapata hasara ya Mil. 55/-

CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.

Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.

Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu  cha Ardhi (ARU).


Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho

1.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

Habarileo

NSSF yawafaidisha walima kahawa

Mbunge wa Mbinga Magharibi, Gaudens Kayombo.WAKULIMA wa zao la kahawa wilayani Mbinga wameanza kunufaika na huduma za bima ya afya kutoka Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

 

10 years ago

Mwananchi

Walima matunda walilia kiwanda

Wakulima wa matunda na mbogamboga wilayani hapa, wameiomba Serikali itekeleze ahadi yake ya kuwajengea kiwanda cha kusindika matunda ili wajihakikishie soko la uhakika.

 

11 years ago

Mwananchi

Walima miwa kupewa hatimiliki

Wakulima wa miwa wa vijiji 10 vya Wilaya za Kilosa na Kilombero mkoani Morogoro, wameanza kupimiwa mashamba yao ili wapatiwe hatimilki za kimila.

 

10 years ago

Mwananchi

Walima nyanya walalamikia ukosefu wa soko

>Wakulima wa nyanya mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa soko la uhakika, hali inayowafanya waendelee kupata hasara kila mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani