Magufuli kuwashushia neema walima korosho
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya ujenzi ili kushusha bei na kuwawezesha wananchi kujenga nyumba bora.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Sep
Samia aahidi neema kwa walima korosho
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Walima korosho wapata hasara
10 years ago
MichuziMFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Magufuli atangaza neema
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema Serikali atakayoiongoza baada ya kuchaguliwa, itapandisha mishahara ya watumishi wote wa umma ilingane na ile ya Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroads), ambayo aliianzisha na kuwapa wafanyakazi wake mishahara minono.
9 years ago
GPLMAGUFULI ATANGAZA NEEMA TABORA
9 years ago
Habarileo07 Sep
Dk Magufuli afunika Moro, ashusha neema
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao.
9 years ago
Habarileo05 Sep
Magufuli awahakikishia neema wahandisi wazawa
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewahakikisha wahandisi kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa serikali ya Awamu ya Tano hatawaangusha na atahakikisha anawatumia vyema kwa ajili ya kujenga uchumi kutoka wa chini kwenda wa kati.
9 years ago
GPLMAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WANABUKOBA