Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli awahakikishia neema wahandisi wazawa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewahakikisha wahandisi kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa serikali ya Awamu ya Tano hatawaangusha na atahakikisha anawatumia vyema kwa ajili ya kujenga uchumi kutoka wa chini kwenda wa kati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB)

Na Aron Msigwa  Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu katika maeneo mbalimbali nchini.  Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa mwaka 2015 jana  jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa Wahandisi wanao mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi kwa kuifanya mipango iliyo kwenye karatasi kuwa katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Makandarasi wazawa wajaliwe

SERIKALI imewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) na wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kutoa vipaumbele kwa makandarasi wazalendo. Agizo hilo limetolewa wilayani hapa jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli apigia debe makandarasi wazawa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameutaka uongozi wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhakikisha wanatumia makandarasi wa ndani katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanywa na wakala huo. Akizungumza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Magufuli awapa tano makandarasi wazawa

DSC00056

Waziri wa Ujenzi, Dk.John Pombe Magufuli, akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa ikitolewa na kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida Mhandisi, Leonard Kapongo kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara ya Manyoni mjini yenye urefu wa kilometa mbili kwa kiwango cha lami.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Manyoni na anayefuatia ni mkuu wa mkoa wa Singida .Dk.Parseko Kone.

Na Nathaniel Limu, Manyoni

Serikali  imewaagiza Mameneja wa TANROADS na Wakurugenzi watendaji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atangaza neema

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema Serikali atakayoiongoza baada ya kuchaguliwa, itapandisha mishahara ya watumishi wote wa umma ilingane na ile ya Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroads), ambayo aliianzisha na kuwapa wafanyakazi wake mishahara minono.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ATANGAZA NEEMA TABORA

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya jana kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na hakuomba kuwa Rais ili awe mwanasiasa bali anaomba...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuwashushia neema walima korosho

MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya ujenzi ili kushusha bei na kuwawezesha wananchi kujenga nyumba bora.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AAHIDI NEEMA KWA WANABUKOBA

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba, mkoani Kagera jana. Chege na Temba wakiwaburudisha wakazi wa Bukoba wakati wa mkutano huo. Wakazi wa Bukoba wakimsikiliza kwa makini Dk. Magufuli.…

 

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli afunika Moro, ashusha neema

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amesema Serikali atakayoiongoza itajenga viwanda vikubwa, vya kati na vidogo ili kuongeza ajira na mapato ya Serikali, huku akiwaahidi wakazi wa Morogoro kufufua viwanda vyao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani