DIAMOND APATA MSHTUKO DENI LA MIL.800
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLTmlbkHS8epMRacGR2CFE8clM4K8NtUVjOrdOVfy56-E2JplE4Pf0O2IfalBzPKK2701HtVdb30gUZGibgTsKV7/1.jpg)
Musa Mateja/mchanganyiko MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 800 na serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. ILIKUWAJE? Mwishoni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKEA9Uz*4PPqPLoJiO0V-*BodPPNZshg4V*kAxX50Ps-XCa-JkvPoJFWyEoqs5WBQxpkBXGGBp-tWAR3zkACS-WPO/FRONTWIKIENDA.jpg?width=650)
MAMA NAY APATA MSHTUKO!
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Pistorius:Daktari apata mshtuko wa moyo
11 years ago
Habarileo31 May
Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini
WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.
10 years ago
Habarileo16 Sep
Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-
RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Waziri Membe apata wadhamini zaidi ya 800 katika mikoa ya Lindi na Mtwara
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.(Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Utanipenda ya Diamond yatazamwa na watu zaidi ya 800,000
Video mpya ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz imetazamwa na watu zaidi ya laki nane na tisini kwa muda wa wiki moja tangu itoke Desemba 11, mwaka huu.
Mkali huyo wa Bongo Fleva anatarajia kuangusha bonge moja la shoo ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar siku ya Krismasi, keshokutwa.
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.
Akizungumzia maandalizi ya shoo hiyo, Diamond alisema itakuwa ya tofauti. Kila atakayelipia fedha yake ( kawaida shilingi 15,000 na V.I.P...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Alex Msama apata ajali, aporwa mil 20/-
MFANYABIASHARA Alex Msama amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari. Msama ambaye ni maarufu kwa kuandaa Tamasha la Pasaka kila mwaka, amepata ajali hiyo jana majira ya saa...
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Wema Ampeleka Diamond Polisi, Kisa ni Deni la Mamilioni
<span 1.6em;"="">Mwigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10.
Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao.
Muhusika mkuu...