Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pistorius:Daktari apata mshtuko wa moyo

Daktari wa akili anayetathmini hali ya mwanariadha Oscar Pistorius katika kesi ya mauaji amepatwa na mshtuko wa moyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je,talaka husababisha mshtuko wa moyo?

Watu walio katika talaka wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa wa mshtuko wa moyo, utafiti umesema.

 

10 years ago

GPL

MAMA NAY APATA MSHTUKO!

Waandishi Wetu JAMBO limezua jambo! Siku chache baada staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kudaiwa kumfumania mpenzi wake Siwema Edson kisha kuondoka na mtoto wa miezi mitatu (Curtis), mrembo huyo ameibuka na kudai mtoto huyo si mali ya Mbongo Fleva huyo hali ambayo imesababisha mama yake mzazi Nay apate mshtuko, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo hatua kwa hatua. Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki...

 

10 years ago

Vijimambo

Talaka Hupelekea Ugonjwa wa Mshtuko wa Moyo Hasa kwa Wanawake


Watu walio katika talaka wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa wa mshtuko wa moyo ukilinganisha na wenzao ambao bado wako katika ndoa ,kulingana na utafiti nchini Marekani.Utafiti uliofanyiwa watu 15,827 unaonyesha kuwa wanawake ndio walioathirika zaidi na kwamba hupunguza hatari hiyo baada ya kuolewa tena.Utafiti huo uliochapishwa katika jarida la Journal unasema kuwa msongo wa mawazo kupitia kiasi unaohusishwa na talaka una athari za mda mrefu katika mwili.

Wakfu wa moyo nchini...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND APATA MSHTUKO DENI LA MIL.800

Musa Mateja/mchanganyiko
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuwepo madai ya kudaiwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 800 na serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. ILIKUWAJE?
Mwishoni...

 

5 years ago

BBCSwahili

10 years ago

GPL

Daktari: Moyo wa Okwi ulisimama

Mshambuliaji Emmanuel Okwi akibebwa baada ya kuzimia.
Sweetbert Lukonge na Ibrahimu Mussa
MOYO wa mshambuliaji Emmanuel Okwi ulisimama kwa sekunde kadhaa alipogongwa kisogoni na beki Aggrey Morris wa Azam FC. Okwi aligongwa katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.Daktari wa Simba, Yassin Gembe, amesema moyo wa Okwi ulisimama kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Daktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo

Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata...

 

5 years ago

BBCSwahili

Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto

Abigail Chamungwana anasoma masomo ya sayansi yaani Fizikia, Kemia, Baiolojia na Hesabu kwa sababu mbali na kuwa mwanamuziki anataka kuwa Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo wa watoto.

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA MOYO WALIOPATWA NA CORONA


Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa  wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo  cha  watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Janabi alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuona ni namna gani wataalamu wa Taasisi yake wataweza kutoa huduma kwa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani