Gaza:Watu 100 wauawa katika mashambulizi
Idadi ya watu waliofariki katika mashambulizi yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, katika siku nne zilizopita, imefika 100
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Jul
Watu 29 wauawa katika mashambulizi Kenya
WATU wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.
9 years ago
GPLWATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA
Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Watu 18 wauawa kwa mashambulizi Nigeria
Watu 18 wameuawa baada ya kushambuliwa na watu wanaoaminika kuwa wanamgambo wa Boko Haram mjini Shaffa
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
3 wauawa katika mashambulizi Beirut
Maafisa wa usalama wanasema washambulizi wawili wa kujitoa muhanga wamejilipua karibu na ubalozi wa Iran na kuwauwa watu 3 wengine wakijeruhiwa
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
52 wauawa katika mashambulizi Nigeria
Afisa mmoja wa usalama amesema waliofanya mashambulizi walitega mabomu katika soko moja katika kijiji cha Kawuri siku ya Jumapili.
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
20 wauawa katika shambulio la anga, Gaza
Mashambulio ya anga yaliyofanywa na Israel yamewaua zaidi ya watu 20 katika eneo la Gaza, wakiwemo raia.
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Watu 33 wauawa,100 watekwa Nigeria
Wanamgambo wamevamia kijiji kimoja kazkazini mashariki mwa Nigeria na kuwaua takriban watu 33.
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Takriban watu 100 wauawa Iraq
Inahofiwa kuwa takriban watu 100 wakiwemo watoto kadha wameuawa kwenye shambulizi la bomu mashariki mwa Iraq
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Wapalestina 9 wameuawa na Israel wakitizama mchuano wa kombe la Dunia, ndani ya mgahawa mmoja katika mji wa Khan Yunis huko Gaza.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania