Watu 33 wauawa,100 watekwa Nigeria
Wanamgambo wamevamia kijiji kimoja kazkazini mashariki mwa Nigeria na kuwaua takriban watu 33.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Takriban watu 100 wauawa Iraq
Inahofiwa kuwa takriban watu 100 wakiwemo watoto kadha wameuawa kwenye shambulizi la bomu mashariki mwa Iraq
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Gaza:Watu 100 wauawa katika mashambulizi
Idadi ya watu waliofariki katika mashambulizi yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, katika siku nne zilizopita, imefika 100
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
watu 30 wauawa Nigeria
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Watu 30 wauawa msikitini Nigeria
Watu 30 wamefariki baada ya kutokea kwa milipuko miwili katika msikiti ulio karibu na mji wa Maiduguri.
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Karibu watu 60 wauawa Nigeria
Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa karibu watu 60 huenda waliuawa katika kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi
10 years ago
BBCSwahili31 May
Nigeria:Watu 29 wauawa msikitini
Watu 29 wameuawa kati mji mkuu wa jimbo la Borno Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kujilipua ndani ya msikiti.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Watu 25 wauawa Zaria Nigeria
Maafisa wa serikali Kaskazini mwa Nigeria wamesema watu 25 wameuawa katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria.
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Watu 20 wauawa kwenye mashambulio Nigeria
Watu zaidi ya 20 wamefariki kwenye mashambulio kadha yanayoshukiwa kutekelezwa na wapiganaji wa Boko Haram katika mji wa Maiduguri.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania