Watu 18 wauawa kwa mashambulizi Nigeria
Watu 18 wameuawa baada ya kushambuliwa na watu wanaoaminika kuwa wanamgambo wa Boko Haram mjini Shaffa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
52 wauawa katika mashambulizi Nigeria
Afisa mmoja wa usalama amesema waliofanya mashambulizi walitega mabomu katika soko moja katika kijiji cha Kawuri siku ya Jumapili.
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
30 wauawa kwenye mashambulizi Nigeria
Watu 30 wameuawa katika kijiji kimoja eneo la kati mwa Nigeria,jimbo la Plateu katika mzozo kuhusu ardhi na mifugo
11 years ago
Habarileo07 Jul
Watu 29 wauawa katika mashambulizi Kenya
WATU wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Gaza:Watu 100 wauawa katika mashambulizi
Idadi ya watu waliofariki katika mashambulizi yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, katika siku nne zilizopita, imefika 100
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Rue-Bichat.jpg?width=650)
WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA
Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
watu 30 wauawa Nigeria
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Watu 25 wauawa Zaria Nigeria
Maafisa wa serikali Kaskazini mwa Nigeria wamesema watu 25 wameuawa katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania